Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

let's list the bus companies and their capacities with credible sources debate iishe.
 
siko busy. mambo mengine unaangalia tu na macho na unapita. badala ya kujaza picha za warembo kwa gallery, nyi munajaza maBasi na maLorry. hata sio Ferarri. you guys are sick
Anhaa nilidhani ulikua na kazi bzy😀😀😀
Hata kwa warembo Tanzania hamuiwezi
 
Please be keen on the main point of the comment, i am tired of correcting you guys repeatedly always...
The point is that bus is an expensive scania, unlike the chinese vehicles you have been posting here
Porojo tu....sasa kama bus za scania ni expensive,si tayari tumekuwekea picha kuwa hapa LDC tunazo....tena nyingi tu.
 
View attachment 544400

Better graffiti than hizo za Tz, mna basi nzuri lakini artwork ni very boring,
Umeanza ututo. Hivo huwo uchafu wamarangi na graffiti mnaonekana local sana. Gari inapotoka kiwandani inakuwa clear with one colour. Kwahiyo registration ya kadi ya gari. Kwenye sehemu yakuuliza colour mnaandika Graffiti??
 
Haha okay i get you, English is a problem, Registering them in Kenya is more expensive like i said 65 million therefore they registered it in Uganda at 51 million.
You understand now?
And I asked "does that makes you feel special?".... au kingereza ni kigumu kwako?..
 
Unauwa nyangau. Wasamehe kidogo. Hiki ndo kivuko chao Mombasa
ferry.jpg
This Made in Tanzania by Songoro marine

A-3-71.jpg


unnamed-128.jpg


1.jpg
 
let's list the bus companies and their capacities with credible sources debate iishe.
naona uvumilivu umekushinda....baada ya kujizuia kukoment tangu asubuhi,hatimaye umeanza kuweka comment..usituambie ulikuwa busy,maana tunajua unemployment rate ipo juu sana huko "kwenyu"
 
Kenya Buses
Dayah Express. Hahahahaha!!

MAZ111102445.jpg


img_00000448.jpg


img_0868.jpg
 
Wewe akili zako zinafikilia "K" eti badala ya kujaza warembo! Inaonekana unapenda sana kuvua watoto wa watu chupi pamoja nakufungua zipi. Akili zako zinawaza chini tu.
btw....
let's talk about this

Gulf 20160410_120434.jpg
 
Kenya Buses

dsc02440.jpg


877499.png


eldoret-express.jpg


23ce4-machakos2bbus1.jpg


Hatuna uchafu kama huu Tanzania. Nchi nzima huwezi kukuta mizigo inawekwa juu. Yapo magari ya mizigo.
 
Back
Top Bottom