eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
tunajitangaza na tushapata soko tayar la SADC
Bro hii inaitaji uzi wake. Siyo habari ya mchezo mchezo hii.
🤣🤣🤣
tunajitangaza na tushapata soko tayar la SADC
watu wana handle nyingii!Huyo Tony 254 alishasoma alama za nyakati huwezi kumuona kwenye hii thread anaiogopa sana.
Old picsWakunya hongereni kwa kuwa na maeneo ya kijanja
View attachment 1835816
View attachment 1835817
View attachment 1835818
View attachment 1835819
View attachment 1835820
View attachment 1835821
View attachment 1835822


Tuonyeshe vya kwenu mashinani hata 5k seats na shadeWhy building stupid things again,
Guys mko na washamba wanawaongoza,
Kwanini msijenge Viwanja vya Kisasa vyenye seats, angalau watu 20K
Mnakwama wapi?
We mzee kumbe na wewe umoZikikolea hizo huyudada anaye-display Mugongo utamuona ki-model kama Zarina Hassan! Utabeba ukiamka Asubuhi unajiuliza ilikuwaje?
![]()
tunajitangaza na tushapata soko tayar la SADC
Asubutuuu, unamaanisha zile grazing groundsviwanja kama hivi bongo vimejaa kama mchanga.. kwann msijenge state of art stadia.. heri kujenga academy kuliko kujenga upupu kama huu karne.. hii ni kwa wote kenya na tanzania.. tuachane na viwanja vya design hii..
Aisee it is too sad Mfugale won't see it's completion!View attachment 1835764View attachment 1835768View attachment 1835770View attachment 1835772View attachment 1835775View attachment 1835778Au nimekuonea.? mmmh Ila DAR tamu bhana. 😂😂😂
Waliodai haugui ndio walimponzawaliodai kumtibu JPM nao watakuja kujifunza!
Dah.!! hii noma sana, May his soul rest in peaceAisee it is too sad Mfugale won't see it's completion!
We have a stadium which have hosted a world championship tournament unlike hile local stadium yenu that only host local matches and tournament. So our stadium is better than yours.Do you have world class stadium in Nairobi?
Do you have Any functional BRT in Nairobi?
Show us your functional expressway ....
Indoor arena and aquatic stadium has cancelled each other since you dont have functional BRT And world class stadium for soccer
Hii Ni milioWe have a stadium which have hosted a world championship tournament unlike hile local stadium yenu that only host local matches and tournament. So our stadium is better than yours.


Kasarani imewaihost tournament ya world championship. Ebu niambie kama kile kibanda chenu kishaihost hata a continental tournament 😂😂
Acha wivu na ukubali hamna uwanja wa kisasaKasarani imewaihost tournament ya world championship. Ebu niambie kama kile kibanda chenu kishaihost hata a continental tournament![]()
sasa tuende kwenye viwanja vya ndege!