Nenda kamuulize Uhuru kwanini corruption inaongezeka.You are going to be the third Tanzanian am going to ask this question this morning: Nataka tuingie na wewe battle ya 5-star hotels between these two cities. Make it strictly 5-star between Nairobi and Dar. Kama uko ready niambie. All the other Tanzanians I have asked this wameenda chini ya miti. I hope you won't be like the other two who have disappeared into thin air!
Mimi hii mada nilijua kwanzia mwanzo tushashinda wakati nilipoona mpinzani ni Venus Star. Huyu jamaa waga hanisumbui kabisa.Mliwachezea kama vile paka anavyo chezea panya baada ya kumshika.., waliingia box haraka upesi 😂 😂 😂 😂 ., dawa ya mtanzania ni kuweka ukweli wazi., wanahangaika na vijisababu..,😂😂😂
Viboko hvo vimewakimbiza kwenye hoteli🤣🤣
Kunawakati tuliwachalaza viboko kwenye hizi hotel hadi mkaanza kuleta hoteli kama za riverroad humu kwa kuishiwavijana wa kitanzania, suala la hotel hongereni sana.. ukiona mpka mtu analeta picha tatu sijui nne za hoteli iliyoko China eti ni za kenya afu anakuja kujitetea eti kakosea kuweka picha ujue mliwapiga vibaya ( how comes unapost picha nne na unasema ulikosea kuattach, ingekuwa moja sawa, lkn picha nne?? no way!) mwingine kaleta restaurants [emoji23][emoji23]
Nenda kamuulize Uhuru kwanini corruption inaongezeka.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini karne hii ya 21 nchi bado inategemea misaada ya chakula.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini slums zinaongezeka kenya.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini kenya kuna ufisadi mkubwa.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini unemployment rate ni kubwa kenya.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini anatumbukiza nchi kwenye dimbwi la madeni.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini nchi ina gepu kubwa kati ya masikini na matajiri.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini Wazungu na wanasiasa wachache wanamiliki ardhi kubwa kubwa huku wakenya wengi wakiachwa bila kitu.
Nenda kamuulize Uhuru bibiyai itasaidiaje mkunya wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 1842069
Mungu niepushe na majaribio haya!
Mungu niepushe na majaribio haya!
Unadaisha wanafaa kujitafakari sana sio[emoji1787][emoji1787]Sio eti ninavyotaka. That's the truth. Ile link mnaletanga hapa eti Kenyanscare poor than Zimbabwe clearly states this fact. Unless mnaletanga links hapa na hamjui contents za hizo links. Kenya inapimwa kwa dola tatu kwa siku na watu masikini ni 20m. Nyinyi mnapimwa kwa dola moja kwa siku na masikini wako 28m. Mnafaa kujiuluza maswali sana nyinyi
Eti Dar iko organized!? 😂 😂 😂Nyie mnajua swala la modern and organised CBD tumewapiga tuna lead tatizo hamtaki kukubali 🙂
Yani wanafaa kujitafakari sana hawa watu iweje masikini kwao ni wengi kuliko kwetu ilhali sisi kipimo chetu kipo juu kuliko yaoUnadaisha wanafaa kujitafakari sana sio[emoji1787][emoji1787]
Nilijua tu hamna majibu. Msije tena hapa kutajataja mambo ya hoteli coz ni dhahiri mnaogopa hiyo mada. Sasa piga kelele utakavyo. Adios!Nenda kamuulize Uhuru kwanini corruption inaongezeka.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini karne hii ya 21 nchi bado inategemea misaada ya chakula.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini slums zinaongezeka kenya.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini kenya kuna ufisadi mkubwa.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini unemployment rate ni kubwa kenya.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini anatumbukiza nchi kwenye dimbwi la madeni.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini nchi ina gepu kubwa kati ya masikini na matajiri.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini Wazungu na wanasiasa wachache wanamiliki ardhi kubwa kubwa huku wakenya wengi wakiachwa bila kitu.
Nenda kamuulize Uhuru bibiyai itasaidiaje mkunya wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 1842069
Msiba mkubwa kwao 😔😔😔 sometimes nawaonea huruma Ila nikikumbuka walivyo na vichwa vigumu nasema basi lazima wale reality🙂Nenda kamuulize Uhuru kwanini corruption inaongezeka.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini karne hii ya 21 nchi bado inategemea misaada ya chakula.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini slums zinaongezeka kenya.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini kenya kuna ufisadi mkubwa.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini unemployment rate ni kubwa kenya.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini anatumbukiza nchi kwenye dimbwi la madeni.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini nchi ina gepu kubwa kati ya masikini na matajiri.
Nenda kamuulize Uhuru kwanini Wazungu na wanasiasa wachache wanamiliki ardhi kubwa kubwa huku wakenya wengi wakiachwa bila kitu.
Nenda kamuulize Uhuru bibiyai itasaidiaje mkunya wa kawaida [emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 1842069
Kweli DSM ipo organized ndo maana tuna mfumo Bora wa transport kama brt ambayo ni ya level ya juu,kingine tupo na designated areas kibao za transportation,sio kama Nairobi ambayo ardhi hamna ya kufanya what we are doing here,Eti Dar iko organized!? 😂 😂 😂
You are taking this joke too far