Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

vijana wa kitanzania, suala la hotel hongereni sana.. ukiona mpka mtu analeta picha tatu sijui nne za hoteli iliyoko China eti ni za kenya afu anakuja kujitetea eti kakosea kuweka picha ujue mliwapiga vibaya ( how comes unapost picha nne na unasema ulikosea kuattach, ingekuwa moja sawa, lkn picha nne?? no way!) mwingine kaleta restaurants
 
over ,sasa unamzungumzia mtu ambaye yupo wrong na hataki kuambiwa ukweli.nikipata time nitadeal na hilo vitu vingi vishatupiwa kurudia rudia mambo hakujengi maana

hebu pata michano kidogo relax coz hakuna kitu kilichopo nairobi ukakosa dar ila kuna vitu ambavyo vipo dar unavikosa nairobi nature ipo tofauti baina ya haya maeneo

Bongolala, picha zilitupwa hapa Jana sikatai ila vilaza wenu led by The Best walivuruga thread kwa kuleta hadi guest houses. I want to make it strictly 5-star hotels comparison between Dar and Nairobi. Mbona hili mnaogopa kama mnajiaini sana?
 
vijana wa kitanzania, suala la hotel hongereni sana.. ukiona mpka mtu analeta picha tatu sijui nne za hoteli iliyoko China eti ni za kenya afu anakuja kujitetea eti kakosea kuweka picha ujue mliwapiga vibaya ( how comes unapost picha nne na unasema ulikosea kuattach, ingekuwa moja sawa, lkn picha nne?? no way!) mwingine kaleta restaurants
Mwengine huyo katumwa vijana wenu wanapost vituko kwanza huyo Venus Star mpokonyeni uraia manake anawaaibisha sana.
 
Mliwachezea kama vile paka anavyo chezea panya baada ya kumshika.., waliingia box haraka upesi 😂 😂 😂 😂 ., dawa ya mtanzania ni kuweka ukweli wazi., wanahangaika na vijisababu..,😂😂😂
 
vijana wa kitanzania, suala la hotel hongereni sana.. ukiona mpka mtu analeta picha tatu sijui nne za hoteli iliyoko China eti ni za kenya afu anakuja kujitetea eti kakosea kuweka picha ujue mliwapiga vibaya ( how comes unapost picha nne na unasema ulikosea kuattach, ingekuwa moja sawa, lkn picha nne?? no way!) mwingine kaleta restaurants
Hongera ya nini wakati hamtaki battle ya 5-star hotels? Hao vilaza unaowapongeza walivuruga thread walipogundua battle ni kuhusu 5-star hotels between Nairobi and Dar. Uliza mwenzako Venus Star atakuambia
 
Mliwachezea kama vile paka anavyo chezea panya baada ya kumshika.., waliingia box haraka upesi 😂 😂 😂 😂 ., dawa ya mtanzania ni kuweka ukweli wazi., wanahangaika na vijisababu..,😂😂😂
Hawataki hii battle ya mahoteli iwe strictly ya 5-star hotels between Nairobi and Dar coz they know they got nothing. Mimi ndio nilianzisha hii battle na Venus Star and the deal was that we keep it strictly 5-star hotels between Nairobi and Dar. Vilaza led by The Best007 waliingia na kuvuruga kila kitu!
 
SGR Tanzania
IMG_0227.jpg
 
vijana wa kitanzania, suala la hotel hongereni sana.. ukiona mpka mtu analeta picha tatu sijui nne za hoteli iliyoko China eti ni za kenya afu anakuja kujitetea eti kakosea kuweka picha ujue mliwapiga vibaya ( how comes unapost picha nne na unasema ulikosea kuattach, ingekuwa moja sawa, lkn picha nne?? no way!) mwingine kaleta restaurants
U-hohehahe ni tatizo sana mkuu kwa hawa wakunya.

Halafu kwanini Watanzania wasikosee wakapost hotel za nchi zingine...kwanini ni wakunya tu kila time ndo wanakosea?

Battle ikiwakamata wanaiba picha za nchi zingine na kusema ni Nairobi.

Mjaluo kuishi kwenye uhalisia ni ngumu sana yaani ni lazima aigize maisha tu ili aonekane yupo vizuri kumbe hakuna kitu
 
kbsa, wanaomba hadi usaidizi wa vitu vya nchi za nje ili mzani ubalance .. aibu!!
 
U-hohehahe ni tatizo sana mkuu kwa hawa wakunya.

Halafu kwanini Watanzania wasikosee wakapost hotel za nchi zingine...kwanini ni wakunya tu kila time ndo wanakosea?

Battle ikiwakamata wanaiba picha za nchi zingine na kusema ni Nairobi.

Mjaluo kuishi kwenye uhalisia ni ngumu sana yaani ni lazima aigize maisha tu ili aonekane yupo vizuri kumbe hakuna kitu
You are going to be the third Tanzanian am going to ask this question this morning: Nataka tuingie na wewe battle ya 5-star hotels between these two cities. Make it strictly 5-star between Nairobi and Dar. Kama uko ready niambie. All the other Tanzanians I have asked this wameenda chini ya miti. I hope you won't be like the other two who have disappeared into thin air!
 
Back
Top Bottom