Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The only buildings in dar hehe
Hii unajua🙂
FB_IMG_1625376116775.jpg
 
Kama middle income country inapimwa ivyo unavyotaka wewe sawa meffi wewe.
Sio eti ninavyotaka. That's the truth. Ile link mnaletanga hapa eti Kenyanscare poor than Zimbabwe clearly states this fact. Unless mnaletanga links hapa na hamjui contents za hizo links. Kenya inapimwa kwa dola tatu kwa siku na watu masikini ni 20m. Nyinyi mnapimwa kwa dola moja kwa siku na masikini wako 28m. Mnafaa kujiuluza maswali sana nyinyi
 
Back
Top Bottom