Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,118
- 17,844
Nakumbuka hiyo siku vizuri sana. Yani hadi mwanzilishi wa hii thread akaleta hoteli fulani inaitwa Hong Kong Hotel eti nayo ni 5-star. Yani nilicheka sana huyo siku. Siwezi sahau hii hoteli ikiletwa hapaKunawakati tuliwachalaza viboko kwenye hizi hotel hadi mkaanza kuleta hoteli kama za riverroad humu kwa kuishiwa
Si unaona hata saa hii nawauliza tuingie battle ya 5-star wanaogopa