Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka 20+fls
1625429610153.png

1625429640039.png


1625429694500.png
 
Wewe ni Mavi kabisa, yn umeanzisha battle alafu umewaacha wenzio wanaumia.
Mlijua hamna 5-star hotels za kutosha ukaamua kuvuruga thread kwa kuweka guest houses sasa ulitaka nishiriki huo ujinga? It was meant to be strictly 5-star ila ukaleta ujinga
 
Mbona mshaanza kuliwazana kulikoni
tulia ni mambo madogo tu,,tena mimi usiniguse kabisa .
nimejiweka bench maana nikiingia nitaharibu halì ya hewa,sijaona hotel ya maana kwa hapo kenya interm of services hivyo huwa sichambui majengo pekee huwa nakandamiza misumali indeep kabisa.

1.dian
2.kempisk

nazipa dole kuna service nzuri hata mteja ukiingia unafeel gud hizo nyingine ni gither bar
 
Back
Top Bottom