Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilton Hotel Jengo Ovyoooooo
Nyie vilaza bado hajalala
images-63.jpg
 
Mlishashindwa kuleta 5-star hotels sasa ni visingizio tu. You ended up bringing guest houses za Arusha na Mwanza
tizama hapo chini picha namba mbili kati kati ,,kisha utuambie hiyo ni kenya sehemu gani.?
otherwise mtakuwa mnajichora tu,kwa kuonekana wazee wa porojo kama kawaida yenu,tutaanza kukagua hotel moja moja mlizopost na kuwaumbua humu.

kuweni real hakuna unacholipwa humu
JamiiForums1848016549.jpg
 
The greatness of a hotel is measured by its star rating. So far, Nairobi beats Dar hands down in 5-star hotels
ndoto za chokoraa,,sikuzote huwa anaandika kwa mihemko,
na ndoto za fukara siku zote huwa anaota ndoto zisizo na kichwa wala miguu..

asilimia 100 ya wakenya mlio hapa ni fukara,jobless hivyo jitahidi kusaka mkwanja mmiliki nyumba na mandinga zaidi ya mbili la sivyo mtaishia kupoteza mda for nothing mkiendelea kuiga mambo yanayotoka kwetu sisi watz wenzenu tupo njema kimaisha.
 
tizama hapo chini picha namba mbili kati kati ,,kisha utuambie hiyo ni kenya sehemu gani.?
otherwise mtakuwa mnajichora tu,kwa kuonekana wazee wa porojo kama kawaida yenu,tutaanza kukagua hotel moja moja mlizopost na kuwaumbua humu.

kuweni real hakuna unacholipwa humuView attachment 1841702
Picha ya kwanza ni Movenpick Hotel, and we all know it's a 5-star hotel in Nairobi? Why don't you focus on the bigger picture? Picha mtu anaweza chsnganya kimakosa, hata nyinyi mmewahi leta picha za Nairobi na kusema ni Dar na si eti mnafanga kimakusudi

Make it simple: Make a list (not pictures) of all 5-star hotels in Dar and I do the same for Nairobi tujue mbivu na mbichi
 
ndoto za chokoraa,,sikuzote huwa anaandika kwa mihemko,
na ndoto za fukara siku zote huwa anaota ndoto zisizo na kichwa wala miguu..

asilimia 100 ya wakenya mlio hapa ni fukara,jobless hivyo jitahidi kusaka mkwanja mmiliki nyumba na mandinga zaidi ya mbili la sivyo mtaishia kupoteza mda for nothing mkiendelea kuiga mambo yanayotoka kwetu sisi watz wenzenu tupo njema kimaisha.
Its so simple kijana tajiri wa Tandale: make a list of all 5-star hotels in Dar Mimi pia niweke za Nairobi ndio tujue nani kati yangu na wewe ndio ako na ndoto.

Alafu utakuaje njema kimaisha wakati karibia nusu yenu wanaishi chini ya dola moja kwa siku? Sema tu unasukuma gurudumu la maisha.

Nangoja list yako ya 5-star hotels
 
Picha ya kwanza ni Movenpick Hotel, and we all know it's a 5-star hotel in Nairobi? Why don't you focus on the bigger picture? Picha mtu anaweza chsnganya kimakosa, hata nyinyi mmewahi let's picha za Nairobi na kusema ni Dar.

Make it simple: Make a list (not pictures) of all 5-star hotels in Dar and I do the same for Nairobi tujue mbivu na mbichi
over ,sasa unamzungumzia mtu ambaye yupo wrong na hataki kuambiwa ukweli.nikipata time nitadeal na hilo vitu vingi vishatupiwa kurudia rudia mambo hakujengi maana

hebu pata michano kidogo relax coz hakuna kitu kilichopo nairobi ukakosa dar ila kuna vitu ambavyo vipo dar unavikosa nairobi nature ipo tofauti baina ya haya maeneo

Back
Top Bottom