Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Venus Star na dadako The best 007 usione tumenyamaza mkadhani mmeshinda, tuna avoid kujaza server kwa battle za kitoto ambazo hamuwezani. Nina hoteli zaidi ya elfu tatu kwa drive yangu naweza spam hii thread mpaka mods wanifukuze.

The Z Hotel​

1625399353866.png


1625399399154.png


1625399449579.png


1625399482792.png


1625399537445.png


1625399606596.png


1625399642180.png


1625399698907.png


1625399726570.png


1625399782961.png
 
Hehe kali is the best rapper in africa yeye ndo alishinda that award watanzania hawaskizi hip hop ama rapa ama genge kazi ni kuskiza tu love songs kama mashoga... mtajulia wapi kali na sarkode or ice prince
😂 😂 😂
 
Acha umama wewe, hiyo ni international school, ipo KE toka kitambo, hata uko Bongo wana branch yao. Utaacha umama dogo! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
ulvokua unasema haipo bongo manake nini?
uchawi uo!
 
kazi uliyobaki nayo kwa sasa ni kurepeat....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tumeshawachapa wote. Sasa hivi issue ya Hotel sitegemei waje na kipya.
Huwa wanavizia mtu upost picha 10 zen ndio wao wanakuja na vipicha vi3 angle tofauti watavizungusha kila mmoja na angle yake lkn tukisema weka niweke wanaanza kulia lia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmoja alitaka battle ya school buses kapigwa kakimbia leo anakuja tena na kapicha kamoja wkt tulishamalizana tangu jana na wote tuliona ipi mbivu ipi mbichi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom