Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
5 star kiwango cha Tz sio kiwango cha International. Huku kwetu sio hivyo sasa! 🤣 🤣 🤣 🤣Wanakwambia eti wanataka battle ya hotels lkn iwe ni Nairobi vs Dar only, ss kwani nani asiyejua Kenya ni Nairobi tu kdg Mombasa, ila cc kwetu hotel za 5 star zimejaa mpk Iringa kuna 5 star hotel![]()



