Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jana ziliwekwa shule hapa zina school buses mpaka kuna mkunya akahisi tumeleta transport company [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilikuwa na search channels kwenye TV yangu hapa...kuna channel mpya naiona hapa wanaonesha mpira ligi ya kenya.

Nikasema ngoja nijionee vituko:

Uwanja umeparara kinoma.
Kuna mchezaji ameanguka...kuinuka anainuka na vipande vya nyasi zilizokauka kichwani kwake [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani uwanja ni kama nyasi huwa zinapunguzwa kwa kutumia fyekeo!

Kwenye ubora wa viwanja vya mpira tumewaacha mbali sana hawa wakunya.

Kwenye utangazaji wa mpira tumewaacha mbali sana hawa wakunya.

Kwenye urushaji wa mpira live tumewaacha mbali sana hawa wakunya.

Kwenye quality tumewaacha mbali sana hawa wakunya.
 
Kwenye soka kwa ujumla tulishaacha kulinganisha na wameshakubali tuko mbali mnoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na tukiwa mechi na nyie tunawagaragaza mabao vibaya aisee! 🤣 🤣 🤣
 
Leo nmecheka sn yn jinsi tulivyowachapa kwenye hotels hawana hamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwa wanavizia mtu upost picha 10 zen ndio wao wanakuja na vipicha vi3 angle tofauti watavizungusha kila mmoja na angle yake lkn tukisema weka niweke wanaanza kulia lia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona mnatiana moyo [emoji1787] endeleeni kujifariji lakini naona kiburi kimeisha[emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye soka kwa ujumla tulishaacha kulinganisha na wameshakubali tuko mbali mnoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani ni vituko kinoma.

Ndio maana ligi kuu ya mpira bongo ni kama ligi ya ulaya kwa wachezaji wa kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanakwambia eti wanataka battle ya hotels lkn iwe ni Nairobi vs Dar only, ss kwani nani asiyejua Kenya ni Nairobi tu kdg Mombasa, ila cc kwetu hotel za 5 star zimejaa mpk Iringa kuna 5 star hotel [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mfano hii hapa ni five star ipo Iringa huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Screenshot_20210704-073413.jpg
Screenshot_20210704-073321.jpg
Screenshot_20210704-073348.jpg
Screenshot_20210704-073306.jpg
 
Endelea kugandisha akili yako kwenye "past tense".
😂 😂 😂 😂 😂 Jengeni viwanja, alafu tuje tuharibu, lakini najua this time mnaweza tufanyia kama mlivyowafanyia wa SA, mnasaidiwa na uchawi, kila mtu anatambua hilo. Mlileta mganga wa nje kuwatibu, Duh! 🙆🏾‍♂️ 😬 😂 🤣 🤣
 
Wanakwambia eti wanataka battle ya hotels lkn iwe ni Nairobi vs Dar only, ss kwani nani asiyejua Kenya ni Nairobi tu kdg Mombasa, ila cc kwetu hotel za 5 star zimejaa mpk Iringa kuna 5 star hotel [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiburi kwisha[emoji1787][emoji1787] vipi si ulisema hakuna hoteli kenya. Tatizo mnaogopa nairobi sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jengeni viwanja, alafu tuje tuharibu, lakini najua this time mnaweza tufanyia kama mlivyowafanyia wa SA, mnasaidiwa na uchawi, kila mtu anatambua hilo. Mlileta mganga wa nje kuwatibu, Duh! [emoji2305] [emoji51] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787]
Endelea kuota.
 
Back
Top Bottom