Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cityblue creekside hotel
images (53).jpeg
2021-04-11.jpg
2020-06-06.jpg
 
Mzee unanichekesha mno. Unazidi kujaza takataka tu. Unarudia hii mwenzako kaweka.
 
Khaligraph - BET Hip Hop Awards 2020(nominated)
Camp Mulla- BET International Award 2012(nominated)
Sauti Sol - BET best international act:Africa 2015(nominated)
Hiyo ni BET tu, sijataja nominations na wins za international awards by Kenyan artists.
Hajui km wakenya BET walianza ku nominat-wa kitambo
 
Venus Star na dadako The best 007 usione tumenyamaza mkadhani mmeshinda, tuna avoid kujaza server kwa battle za kitoto ambazo hamuwezani. Nina hoteli zaidi ya elfu tatu kwa drive yangu naweza spam hii thread mpaka mods wanifukuze.
 
Back
Top Bottom