Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Issue ya Hotels pia tumemaliza, asitokee mkunya anaongea ongea kuhusu Hotels [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Issue ya Hotels pia tumemaliza, asitokee mkunya anaongea ongea kuhusu Hotels [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ata Mimi nimeona mmemaliza kabisaa., Leta issue nyingine tuone pia how far๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Umesahau pia ni mbana pua lakini ana fans wengi kuliko msanii yoyote africa mashariki,pia domo ana mkwanja kuliko kali,kali masikini...halafu huku kwetu kali ni underground..
Hehe kali is the best rapper in africa yeye ndo alishinda that award watanzania hawaskizi hip hop ama rapa ama genge kazi ni kuskiza tu love songs kama mashoga... mtajulia wapi kali na sarkode or ice prince
 
Ata Mimi nimeona mmemaliza kabisaa., Leta issue nyingine tuone pia how far[emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi umewasaidia sana huu, mlidhani ni mama zenu pekee ndio wanajua kupika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uzi umewasaidia sana huu, mlidhani ni mama zenu pekee ndio wanajua kupika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulipata msemo hapa sasa unatumia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., exactly your reasonings ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., "my mother is the best cook" reasoninh ndio zenyu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, sisi nikuwaletea facts, kazi yenyu inakua vijisababu uchwara na kulia lia na Kibera ili kujiliwaza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., kisa mmeumbuliwa na mmekosa jibu๐Ÿ˜‚., tunawajua kikamilifu, wanyonge siku zote๐Ÿ˜‚..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ