Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu ulitumia nyundo kuuwa mende, mwenzio nlikuwa nampeleka taratibu ili avutike alafu ndo tuje tumuue ila we ushauwa tayari, atakuja na maneno ya kanga ila msururu wa buses km huu daima hatoweza kuonesha.

Ooiii pigo lingine hili Wakenya tumewapiga, yn hakuna battle mmewahi shinda ukiacha ya mchezo wa kitumwa
Tena shule zote hizo za mikoani, hakuna shule za Dar, me mwenyewe nawaleta kwanza wasifikiri nimeanza tayari 😅😅
 
Hapa ndipo huwa naamini Tz imewaacha mbali sn wenzake, yn ukifananisha social services zinazotolewa kwa wenzetu na hizi za kwetu ni mbingu na ardhi, Wakenya wanaofundisha Tz watawaambia ukweli, hivi vitu ni vya kawaida mno huku kwetu, unakuta shule ya kawaida ina buses nyingi za adabu, eti kwenu shule nzima ina buses 3 old fashioned, tatizo Wakenya wa humu hawasemi ukweli hata ambao wanaishi na kufundisha huku kwetu.
Naona umebaki na maneno ya khanga, mtz eti kabisa kitu awe nacho halafu eti asinaze mipicha mipicha humu..
Sema unaogopa aibu mzee acha maneno mengi
 
Hiyo shule international au? Maana hayo mabasi gharama yake halafu yawe yanachukua wanafunzi asubuhi na kuwarudisha jioni siku nzima yanapigwa na jua? Hebu hiyo shule yenyewe?

Hiyo shule international au? Maana hayo mabasi gharama yake halafu yawe yanachukua wanafunzi asubuhi na kuwarudisha jioni siku nzima yanapigwa na jua? Hebu hiyo shule yenyewe?
Zipo shule nyingi zenye mabasi mazuri, kama hii ni boarding lakini ina mabus mazuri yanayopark karibu muda wote

images - 2021-07-03T193348.485.jpeg
images - 2021-07-03T193337.895.jpeg
 
Zipo shule nyingi zenye mabasi mazuri, kama hii ni boarding lakini ina mabus mazuri yanayopark karibu muda wote

View attachment 1839100View attachment 1839103
Ila mkuu umejuwa kuwapiga, ona mwenzio mabasi aliyoweka alafu na wewe uliyoweka, ni mbingu na ardhi, unajua tatizo cc Watz co watu wa majivuno ila kwa Afrika hii ni nchi chache sn znazoweza kutuzd cc na naweza sema hazzd 3.
 
Basi moja mawili sawa sasa jamaa ana Macro polo 5! Kampuni ya mabasi hiyo!
Ndipo Tz ilipofika hapo mkuu, so kulinganisha na nchi zingine ni km matusi, nilipoona kuna mkunya kaanzisha battle ya buses nikajua keshataga tayari cz hawezi shinda hiyo battle na hapo bado kabisa kuna shule nyingi mno Tz zenye school buses za adabu.
 
Back
Top Bottom