Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

After kufanya research nakuta domo ana nomination mbili tu BET, sasa wewe hzo sio chini ya nne umezitoa wapi..

Khaligraph ni msani ambae haungi haungi km domo hata km kazidiwa, jamaa anajaribu na huenda akafanikiwa na mengi akiongeza bidii
Haya nitajie hata msanii mmoja tu wa Kenya aliyekuwa nominated Mara mbili...sie huku ukiachana na domo,vannyboy kabeba kabisa...hakuna battle hapa kudadeki
 
Katumwa aje kupooza machungu lkn waapiii
Kenya ni mwendo wa scania tu
Unajiskiaje yani mzee..
Viberiti watu watagoma nakwambia km ni shule inayojielewaView attachment 1839169
images.jpeg-42.jpg
 
Hamuwezi vita, kubalini mlipigwa na watoto wavuta bhage, Comoro mkacharazwa huku wengine wakifa maji, na typhoid juu, Darfur kule hata usiseme! POW hutokea vitani, hata the so called first world nations, wanajeshi wao mara ngapi tumesikia wakichukuliwa mahabusu wakiwa vitani. Mangese walimkimbia hadi Amin, baada ya kupata msaada, ndio mkajipeleka. Mngefutwa kwenye ramani ya dunia nyie ka si usaidizi. Uliona wapi nchi askari magereza, traffic, askari usalama hadi wahudumu wa mortuary wanapelekwa vitani kusaidia jeshi lao hafifu? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 1835333
View attachment 1835334
Mjaribuni sahi, M7, muishie kulilia chooni, panya buku nyie! Hawatumii mchina waganda wa sahi! 🤣 🤣
Badala mkapambane nyie na museveni kwa sababu amewapora mingingo island unatuambia sisi,ukitaka kuijua tpdf vuka mpaka halafu leta utoporo hata mkiungana kunya,Uganda na Rwanda hamtuwezi hata kidogo
 
Back
Top Bottom