Fabio santolo
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 321
- 241
Viwanja vyetu vinahitaji maboresho kidogo sana,sasa sijui tunakwama wapi!?
Hao ni wanapropaganda,wana maslahi yao njuu huku mtaani uone kama kuna mtu ana habari na hizo mask,hakuna mask,hakuna sanitizer, hakuna social distance,hakuna vaccine,hakuna anayezungumzia vaccine..na hakuna kufa...we are very strong,in GOD we trustMnavaaga mask kumbe, si nilidhani wabongo waliamua hakuna c-19 kuanzia mjini hadi mitaani kijijini??? 😂
Askari wenyu wale waliokimbilia machakani kujificha baada ya kuvamiwa na mujahedeen al harakat..kisha kuwaacha americans wanapigana peke yao kule manza bayWhich field? 😂 If it's the Kagera war, you had help from allies, MONUSCO was a UN and other elements collaboration too, Mozambique war, you fought alongside allies, the invasion of Anjouan, was a collabo with allies.
Kwa hivyo, hakuna cha better wala nini, na upande wa kuwa equipped, duh huko hata usinguse sababu tuna hami wanajeshi wetu kisawasawa, hatuwabanii. Sio vifaa vya visasa kama bunduki, APC's, makaazi yao, high-end military tech nk... 😂
Kajilipuathis is kericho not nakuru View attachment 1833996View attachment 1833997View attachment 1834074View attachment 1834075
this is thika not nakuru View attachment 1834000View attachment 1834003
this is kisii not nakuru View attachment 1834010View attachment 1834015
ya tafakari hayo










Mipango yetu kwa sasa ndo hii hapa mkuukuna kitu nimewaza kuhusu Yanga.. yanga msimu ujao wakikaa vizur kimahesabu watasumbua/watakuwa vizur sana kwenye ligi kuu na CAF
Yanga![]()
- Gharib (GSM)
- Rostam (Taifa Gas)
- Manji (Quality Group)
Simba
- Dewji Mo
mim ni simba ila hawa jamaa yanga wakikaa vizur, watatusua sana


Picha hii hawaipendiWengine wanahangaika na BRT miaka mitatu walidhani BRT ni kupaka lipstick pale thika
View attachment 1834056View attachment 1834057View attachment 1834058







Umewastua sn, kwn hii ndio fumba au?
Aawapii hawa yanga ni vidimbwi type na vidimbwini wanakaa chura wakipiga kelele tu! Utaniambia!kuna kitu nimewaza kuhusu Yanga.. yanga msimu ujao wakikaa vizur kimahesabu watasumbua/watakuwa vizur sana kwenye ligi kuu na CAF
Yanga
- Gharib (GSM)
- Rostam (Taifa Gas)
- Manji (Quality Group)
Simba
- Dewji Mo
mim ni simba ila hawa jamaa yanga wakikaa vizur, watatusua sana
hapa walipoya-park ndo shida mvua ikija yatasombwa tena! Sijui kwann wanalazimishia kuya-park hapa!
ni noma hatar kama zote
Wacha kuvamia post bila kujua maana mjinga wewe.We huoni hyo imeinuliwa kw sababu hyo sehemu labda, manake napaona kuna unyevu unyevyu..huenda sehemu yenyewe ni korofi sana kw kubeba maji, so zote ni design moja tofauti mchanga
Na tushagundua kwamba ni mchezo mchafu tu na tumeshapotezea, hakuna cha corona wala baba yake na corona wala mama yake na corona hapa, ni kwamba hatunawi mikono, tunajazana kwenye mabasi, na hatupaki sanitizer malamamiyake.Hao ni wanapropaganda,wana maslahi yao njuu huku mtaani uone kama kuna mtu ana habari na hizo mask,hakuna mask,hakuna sanitizer, hakuna social distance,hakuna vaccine,hakuna anayezungumzia vaccine..na hakuna kufa...we are very strong,in GOD we trust
whatever u see in naxvegas, remain in naxvegas View attachment 1834038View attachment 1834037View attachment 1834041View attachment 1834039