si ni wewe umeitisha nissan, au hujui magari. Go back and look at your comment.if those min van are your luxury passenger buses,then I'm done with you.
sawa buda...nawapongeza wakenya kwa kuwa na luxury buses za kisasa kama zile.hongereni sana.mpo juu sana.sisi LDC hatuna kitu.si ni wewe umeitisha nissan, au hujui magari. Go back and look at your comment.

Punguza hasira budaa😀😀😀😀😀si ni wewe umeitisha nissan, au hujui magari. Go back and look at your comment.
mwiba mwingine huo..simba trailer manufacturing limited dar es salaam
![]()
![]()
![]()
![]()

Yani mnalipia kutumia Barbara Ama hujui kazi ya road toll?? Izo vitu tulikataa kabisa ziwekwe thika road....why pay to use a highway.
sent from iPhone 7
Huyo hua anabisha tu yani yeye kubisha tuWewe kenge kweli. Kazi ya road toll nikuwezesha kujenga Barabara na miundombinu nyingine pamoja nakupunguza foleni. Pia kuhusu crime na traffic issues usaidia sana. Naona nyinyi mko kwenye dunia ya mwisho. Go to developed countries and see the importance of road tolls.
Dar COACH
Fuso
![]()
![]()
![]()
Guta lao hili hapa😀😀😀😀😀Gor Mahia siwange nunua hata hii fuso kuliko lile guta.
Vipi ulikua bzy kazini???????i wonder what kind of pictures some of you guys have. you must be leading a very boring life btw
Jiulize tons ngapi zinatoka Mombasa zikibebwa na malori....upuzi zingine kama hizi siezi pinganasimba trailer manufacturing limited dar es salaam
![]()
![]()
![]()
![]()