El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
proudly Kenyan.That's why we are Africa's most intelligent city
if those min van are your luxury passenger buses,then I'm done with you.
kuna mtu mmoja toka nchi ya watu wa njaa alidai LDC hatuna luxury buses zenye engine za scania.Dar Coach
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Ndio maana nimeweka Scania buses pekee yake ili waweze kuona. Jamaa wanadhani tukiwa LDC kwamba eti hatuwezi.kuna mtu mmoja toka nchi ya watu wa njaa alidai LDC hatuna luxury buses zenye engine za scania.![]()
![]()
![]()
mabasi yao mengi hasa yale yanayo safari nairobi to mombasa and vice versa yanatumia engine za Nissan UD.Ndio maana nimeweka Scania buses pekee yake ili waweze kuona. Jamaa wanadhani tukiwa LDC kwamba eti hatuwezi.
Wamebaki kuongea tu hawaweki picha yoyote.
Annael basi inatosha....utasababisha watu wakate roho...hii ndio tanzania ya sasa chini ya jemedari wetu magufuli.hatari sana.Dar COACH again
![]()
![]()
![]()
![]()

Ngoja niwapige kidogo wawe na respect. Tukiwa tumekaa kimya wanadhani nothing is going on in our country. Sijui wanafikri huwa tunasafiri vipi from one place to another.Annael basi inatosha....utasababisha watu wakate roho...hii ndio tanzania ya sasa chini ya jemedari wetu magufuli.hatari sana.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()