Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DAR COACH

11694883_1118735988154426_3071127553521555065_n.jpg


10995635_1118736188154406_6888731718209275858_n.jpg


11046699_1118736284821063_2054299384903234763_n.jpg


11692528_1118736478154377_5876081991763016957_n.jpg


11170345_1118736848154340_2226131168299241728_n.jpg
 
you're posting buses forgetting that we drive. honestly you're gonna pay for your immense stupidity
 
DAR COACH ni noma. Ukiwambia kuwa hizi bus zimetengenezewa hapa Dar es salama Tanzania kunauwezekano nyangau asiamini. Nahapo bado tuna company kama Superdoll na Simba trailers nawao wanatengeneza bus. Zakwetu ni standard.Wakenya wasichojua nikuwa Yutong na Benbross za mchina zinatumia mafuta kidogo sana kuliko scania.
Dar coach

11010518_1121936507834374_4883199903477462809_o.jpg


11729009_1121936391167719_8404427739610907842_o.jpg


11052379_1121936311167727_8031590382164119734_o.jpg


11703308_1121936301167728_4858740552418851530_o.jpg


1294498_1121936294501062_1197503267594768453_o.jpg


11722166_1121936017834423_4533902791564664053_o.jpg
 
Huwa wakileta ule uchafu wa matatu nacheka sana. Nashangaa Leo wameuficha wanatoa min bus. Lol!!
 
Nairobi watu wanaotaka kusoma urubani mna chuo uko?sasa humu ndani unatuonyesha shule tulishazipita zaman tumesahau izo physics chemistry sahv tunafanya mambo ya msingi....unaturudisha nyuma sana....but kwa hao waliobahatika kupita international school waende Cambridge Oxford yale and Harvard sio makerere udsm na nairobi university

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Na tukimaliza bus tunaingia kwenye local made trailers alaf uone nani atabaki humu😀😀
 
Back
Top Bottom