Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

avoid bus service.
ad8e9e079183c75c824dd0dacdeeecb5.jpg
41cc619da2bdb5134e3530001ecb1a22.jpg
33daf88c99486059465ca116e6f4481a.jpg
b6f94502a7dfffc238d8b5ecddbb4182.jpg
dda19f57decfdd63b8a76509c40ff706.jpg
f2832db3070bb505bc07ea9002d224f0.jpg
134d98beffa41362938ab30531ae350f.jpg
 
Ngoja niwapige kidogo wawe na respect. Tukiwa tumekaa kimya wanadhani nothing is going on in our country. Sijui wanafikri huwa tunasafiri vipi from one place to another.

Buses zinatengenezwa kwa standard za Tanzania. Hakuna kuweka mizigo juu dio sheria iko hivyo. Ukikutwa bus lako unaweka mizigo juu unapigwa faini na bus kufungiwa.

Ngoja niwapige kidogo mpaka iume.
wagonge pale panapo uma zaidi.
hakikisha kisu cha ngariba kinaingia mahala pake sawia.
 
jana baada ya kuwapiga kile kigongo cha unemployment, mida hii wameamua kukaa kimya bila kuweka comment ili wakirudi baadae wadai walikuwa busy ilhali sio kweli.janja ya nyani kula hindi bichi.
 
Dar coach, nawaona wakenya wanaumia kweli hawataki haya mambo yatokee TZ

11710000_1117713548256670_5581025765594787794_o.jpg


11037363_1117713581590000_8525256477995555240_o.jpg


11713706_1117713618256663_6237779565007284984_o.jpg


1513199_1117713564923335_8376213111029473518_n.jpg


11699080_1117713531590005_3763586910043048618_o.jpg


11738098_1117713551590003_2886974299628152141_n.jpg


11696362_1117713611589997_3733654318005406233_o.jpg
 
Mtanzania aliyeanzisha hii thread Thanks for embarrassing us. Dar is way way way far from reaching Nairobi. Tutajidanganya na hivi vipya vichache tunavyoviona vinaingia Dar but facts remain bado tupo nyuma. Barabara zetu bado zipo nyuma. Hizo sijui flyover zinazojengwa Nyerere(Pugu) road hazitakiwi kuitwa flyover, viongozi wetu wanapoteza pesa pale. Hata ukiangalia picha Nairobi inaonekana imepangiliwa vizuri na wana plan zilizo katika standard ya majiji mengine duniani. Mfano, wana open park ambayo kwetu ilifungwa (mnazi mmoja) na inauzwa kidogo kidogo.
kuwa mpole..........naimani hata nairobi yenyewe haujawahi fika......tunajadili hii mijadala hapa wengi wao tunapajua nairobi.......sisi tunadeal na uhalisia hatudeal na picha kwani ule ni ulembo tu waweza piga picha ukiwa angle nzuri na kibaya kikaonekana kizuri.......hivyo wewe pita tu hsujajua maana ya hii thread
 
kuwa mpole..........naimani hata nairobi yenyewe haujawahi fika......tunajadili hii mijadala hapa wengi wao tunapajua nairobi.......sisi tunadeal na uhalisia hatudeal na picha kwani ule ni ulembo tu waweza piga picha ukiwa angle nzuri na kibaya kikaonekana kizuri.......hivyo wewe pita tu hsujajua maana ya hii thread
 
Back
Top Bottom