Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

it is called freedom of expression. come up with a credible source to back up your claims. otherwise ni kama kujipiga punyeto
pelekeni hasira zenu kwa huyu mkenya mwezenu huko Twitter.

b5579617d74a655c8b74f9f3f773db9d.jpg
1247b449fe71b92b843c956926067031.jpg
 
wow!!...so proud to see nigerians are joining kenyans in attacking tanzania.

it's a sign that tanzania is powerful in all spheres and a threat to both kenya and nigeria.

thanks for putting TANZANIA at the center of your discussion.

Sio Mnaigeria huyo....ni Mkenya anajifanya Mnigeria. hakuna surname la "Nduka" in Nigeria.
 
Kuchonga body ndio made😀😀😀😀
Body yenyewe inatoka nje nyie kuchonga tu
Hata tanzania tunachonga body so isikutishe sana😛😛😛😛
Kutoka assembling then kuna baze vijana wengine wanaunda body,kufix viti,kuweka system na tv,alafu wanamadia kupaka rangi na grafity mwenda all in Kenya

sent from iPhone 7
 
Kutoka assembling then kuna baze vijana wengine wanaunda body,kufix viti,kuweka system na tv,alafu wanamadia kupaka rangi na grafity mwenda all in Kenya

sent from iPhone 7
Ndugu hakuna kazi zaidi ya kuchonga body hapo
Hata huku tunafanya hio kazi
😀😀😀😀😀
 
Mtanzania aliyeanzisha hii thread Thanks for embarrassing us. Dar is way way way far from reaching Nairobi. Tutajidanganya na hivi vipya vichache tunavyoviona vinaingia Dar but facts remain bado tupo nyuma. Barabara zetu bado zipo nyuma. Hizo sijui flyover zinazojengwa Nyerere(Pugu) road hazitakiwi kuitwa flyover, viongozi wetu wanapoteza pesa pale. Hata ukiangalia picha Nairobi inaonekana imepangiliwa vizuri na wana plan zilizo katika standard ya majiji mengine duniani. Mfano, wana open park ambayo kwetu ilifungwa (mnazi mmoja) na inauzwa kidogo kidogo.
 
asante kwa maoni yako.rudi kwenye majukwaa unayo yamudu yanayojadili football..huku hukuwezi.utaishia kupaniki tu.karibu tena.
 
Back
Top Bottom