The cars you use are fabricated in kenya by choda and master farbricators
Ha wakenya bhana. Na sie tuna Dar coach. Kwanza hatununui mabasi ya kuchonga toka kenya. Tunanunua mizigo ya hapa hapa bongo na chinaThe cars you use are fabricated in kenya by choda and master farbricators
Zakuchonga body ndio expensive????Buses are very cheap...why don't you look for another thing to battle
sent from iPhone 7
Unawazimu wewe dar kuna kiwanda cha ku fabricate mabasi na malori.....unafkiri tupo tupo tuThe cars you use are fabricated in kenya by choda and master farbricators
Nairobi watu wanaotaka kusoma urubani mna chuo uko?sasa humu ndani unatuonyesha shule tulishazipita zaman tumesahau izo physics chemistry sahv tunafanya mambo ya msingi....unaturudisha nyuma sana....but kwa hao waliobahatika kupita international school waende Cambridge Oxford yale and Harvard sio makerere udsm na nairobi university
Post sent using JamiiForums mobile app
And another one (in Dj Khalid voice)
an international volleyball player Jenia Grebennikov,is on vacation in LDC.
![]()
![]()
NB: watu wa nchi njaa,msije mkaenda kutoa mapovu kwenye page yake,hawa watu wanathamini sana privacy zao.
![]()
![]()
Izi bus ukifika lazima ukalazwe kwa kuumizwa na machuma Kenyans kwa usafiri wa abiria kaeni pembeniWe also have scania buses ala....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Post sent using JamiiForums mobile app
utawezana kweli?leteni zile fabricated Nissan UD passenger buses za Mombasa......nimejipanga katika hilo.twendeni vitani.