Fabio santolo
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 321
- 241
Wakunya wanachanganyikiwa na kariakoo hadi wanadhani ni CBD namna ilivyo na concrete jungleYale yale tulisema, mji wa cbd kariakoo na uswazi.
Wakunya wanachanganyikiwa na kariakoo hadi wanadhani ni CBD namna ilivyo na concrete jungleYale yale tulisema, mji wa cbd kariakoo na uswazi.
Hii imewatesa hadi basi., 😂 😂Deni la mchina watanzania pia watalipa lakini views ni zetu 👇 👇 👇 👇 💉 View attachment 1829217
Unskilled ni wale waliopigwa mapanga. Mwanajeshi unadedi kwa risasi sio panga,... Pumbaff wewe! 🤣 🤣 🤣KDF ni wazembe sana yaani wanadondoka na machopper daily,na siku nyingine wanadondoka na parachute.. Wanajeshi wao ni unskilled sana,halafu pia serikali yao inapenda sana kununua vitu used..
Wao na wale wa kufukuzwa kwa mapanga, gani ni majasiri... 😂 😂 😂Umeona madhara ya kununua vitu used!??..government yenyu inapenda kitonga kununua vitu vilivyokwisha tumika...ona KDF sasa wanavyodondoka kama embe..so sad!
Ulijua neno "concrete jungle", sasa kila wakati ni kulitumia hata imeisha ladha 🤣🤣🤣🤣 wacha tukufundishe neno lingine, sawa? 😂 😂 😂 😂Wakunya wanachanganyikiwa na kariakoo hadi wanadhani ni CBD namna ilivyo na concrete jungle
Watu saa hii wako kwa special economic zones kama ya dongo kundu ambayo ita create 100,000 new jobs once ikiisha. Mombasa inasukwa kila sector, dar ichukue tahadhari.EPZ mbona zipo nyingi huku! 🤣 🤣 🤣 Toeni ushamba hapa
Kando na EPZ, kuna mpaka RIVATEX na KICOTEC, both produce high quality garments zinazouzwa mostly Europe and Asia. Angalia vitu Uhunye anavaa mostly shirts, you'll no what am talking about. 😎
Simon amepost picha bila kumshambulia yoyote halafu wewe na akili yako fupi iliyo na utapiamlo unaanza kumshambulia.EPZ mbona zipo nyingi huku!![]()
![]()
Toeni ushamba hapa
Kando na EPZ, kuna mpaka RIVATEX na KICOTEC, both produce high quality garments zinazouzwa mostly Europe and Asia. Angalia vitu Uhunye anavaa mostly shirts, you'll know what am talking about.![]()
Sawa, sitamuonea tena bwanako! 🥴Simon amepost picha bila kumshambulia yoyote halafu wewe na akili yako fupi iliyo na utapiamlo unaanza kumshambulia.
Nyie wakunya mna shida mahali kwenye ubongo wenu.
Mamaqoo.Sawa, sitamuonea tena bwanako!![]()
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mamaqoo.
Angalia vizuri utaelewa nimesahau kuweka comma,Wakunya wanachanganyikiwa na kariakoo hadi wanadhani ni CBD namna ilivyo na concrete jungle
Yale yale tulisema, mji wa cbd kariakoo na uswazi.
As usual the road is not marked and it's also full of potholes.Gerezani, SGR bridge progress.View attachment 1828794View attachment 1828795
As usual the road is not marked and it's also full of potholes.Gerezani, SGR bridge progress.View attachment 1828794View attachment 1828795
90% of Tanzanian roads aren't marked na pia ni ina potholes kila pahali.Wakati wao wanahangaika na minor issues like rally competition, cc tunazidi kujenga nchi yetu kwa vitu basic, BRT phase 2 progress, MbagalaView attachment 1828798View attachment 1828799View attachment 1828800View attachment 1828808
Hivi tausi wetu wanaendeleaje?
Acha fix wewe, hii clip ya miaka ya zamani ya Hyden paddon(siko certain na spelling though) kama sikoseiView attachment 1828947Currently in Naivasha
Hapo ni construction site bwana mahela,don't be confusedAs usual the road is not marked and it's also full of potholes.
Majibu kama haya kutoka kwa fukara lenye stress za maisha ni kawaida.They are still mourning Magu-fool.
nionyeshe sehemu nyingine nilipolitumia,otherwise unawashwa ta.ko lete tulikuneUlijua neno "concrete jungle", sasa kila wakati ni kulitumia hata imeisha ladha 🤣🤣🤣🤣 wacha tukufundishe neno lingine, sawa? 😂 😂 😂 😂
Kudondoka na parachute yaani kama mango from the tree..ile puuuu,nayo ni ujasiri?Wao na wale wa kufukuzwa kwa mapanga, gani ni majasiri... 😂 😂 😂