President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,372
Nimesikitika mno. Sisi tunaongelea maendeleo wenyewe wanaongelea.Wako bize na petty issues wkt kina Kenyatta wanazidi kuimaliza ardhi yao kwa kuipora [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. Kwenda kushiriki mbio Japan.
2. Kuwa na mashindano ya magari.
3. Kuweza Ku view mount Kilimanjaro.
4. Swara 🤣 🤣🤣
These guys are stupid. Wakenya akili zao ziliunguzwa na mstari wa ikweta.