Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Only mad man can deny that those pictures are not the same, narudia tena kukwambia hakuna mpangilio huo wa nyumba Tz hata huyo mwandishi anasema hapo ni Zanzibar lkn pia co kweli, eti Dar unaumwa Mavi wewe, tangu lini Dar ikawa concentration ya nyumba km hiyo? Haitakuja kutokea daima dumu labda dunia iumbwe tena km anavyowaambia ichoboy
Hautakuwa mtanzania wa kwanza kukana picha za Dar wala hautakuwa wa mwisho. Hiyo tumezoea. Unasema eti Dar hakuna concentration kama huo. Swali ni je, hapa penye concentration ya juu sio Dar?
images(129).jpg
Screenshot_20190731-195922.png

Najua hata hizo pia ungepinga sio Dar lakini ubaya brt imekuuza
 
Nairobi slum mulifika wapi???🤣🤣🤣 ndio team zenyewe hzo gormahia hata banda la choo hawana hzo pesa huenda wapi mukipata???
Hiyo Gor Mahia yenye haina banda la choo ndio ilitoa wachezaji walioshinda timu yenu ya taifa ambayo wachezaji wake wanatoka vilabu zenye vyoo! 😂 😂
 
Magu alikuwa na mipango mizuri sana, haya anayozindua au kuweka saini mama ni mipango ya Magu, nasubiri kuona mipango ya mama after one or two years.. hili mojawapo la kujenga shule za sayansi kwa ajili ya waischana by mama naipa tick ✅👏🤝👊.. waiting for more from her
Shule ilikua mpango wa Magufuli pia
 
JPM yupi huyo? Aliyekataa wasichana waliopata mimba kurudi shule?
JPM hajawahi kukataa waischana wajawazito wasirudi shule, hiyo ni sheria yeye mwenyewe aliikuta ipo toka siku nyingi

Na yeye ndio aliepeleka proposal WB kupatiwa mkopo ambao ndio wenye components za kujenga shule za sayansi za bweni maalum kwa wasichana.
 
Hautakuwa mtanzania wa kwanza kukana picha za Dar wala hautakuwa wa mwisho. Hiyo tumezoea. Unasema eti Dar hakuna concentration kama huo. Swali ni je, hapa penye concentration ya juu sio Dar?
View attachment 1819716View attachment 1819721
Najua hata hizo pia ungepinga sio Dar lakini ubaya brt imekuuza
Watapinga tu Hawa Wahuni,Na Mpaka Tz BRT yao Upupu Inaonekana very Clearly😆🤣🤣🤣
 
JPM hajawahi kukataa waischana wajawazito wasirudi shule, hiyo ni sheria yeye mwenyewe aliikuta ipo toka siku nyingi

Na yeye ndio aliepeleka proposal WB kupatiwa mkopo ambao ndio wenye components za kujenga shule za sayansi za bweni maalum kwa wasichana.
Wacha kutudanganya huu mradi wa shule za kike kila mkoa si wa JPM! Kwanza alinyimwa fedha kutokana na sera mbovu kwa watoto wasichana! Tupe evidence basi!
 
Sera zipi mbovu?
kuna sheria yoyote inayohusu maswala ya wanafunzi wajawazito ilitungwa kipindi cha Magufuli?

Back
Top Bottom