Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,212
- 35,594
Hivi ndio vitu vya kujivunia sasa,sio kunyaland wanajivunia express way ya mkopo kama vile nchi nyingine zikiomba mkopo kama huo zitanyimwa,kunyan TZ ina vipaumbele vyake pambavu๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ Tunasubiri over 1b project iko jikoni
Hii ndio takataka gani umetuwekea hapa bi dada!Yani mwapagawa na vitu vidogo sana walai..
Soko linatakiwa likae hivi mzeeView attachment 1817886
Ichoboy si anateseka sana, atakwambia hzo wamenunua wanasiasa[emoji1787][emoji1787]We jua ipo KE, hayo yenyu mnatutumia mnatuambia majina? [emoji23]
View attachment 1817418
Unamaanisha kariakooCounties zenu zote zipo hivyo hata Nairobi 30% Ni nyumba za udongo 40% shacks the remaining part God knows
Wanaleta nyumba za serikali, yaani ukitoka tu serikalini, unatoka na mizigo yako unaachia mwenzako atakayekuja. Hawawezi kununua units ziwe zao na familia zao permanent! ๐คฃIchoboy si anateseka sana, atakwambia hzo wamenunua wanasiasa[emoji1787][emoji1787]
Hzo zinaitwa "nyumba za ndoto zao"[emoji1787][emoji1787]Sasa kama hiyo ni slum hizi tutaitaje?
View attachment 1817497View attachment 1817497View attachment 1817499
Waendelee kuagizwa tu, mtajua wenyewe...tangu nimpe takwimu ya majumba mabovu ya nairobi, hajaonekana tena . yuko huko anaugulia maumivu huyo mkadiriaji majenzi. amekuacha wewe kwa sababu ni chizi kujielewi ndiyo maana huna aibu unabishia hata ukweli ambao National Construction Authority wameutoa baada ya rais wenu kuwaagiza.
Are these two pictures the same?Mbn mnajichanganya sasa, mwenzio anasema hapa ni Zanzibar wewe unasema hapa ni Dar tumuamini nani sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1817795
Kuna utofauti wa aina ya chanzo cha umeme HEP ni more expensive at the beginning but cheaper in the long run. Ila for thermal generators such as gas HFO ni cheap cost ya 1MW is equivalent to USD 1 million so dont compare onions to orangesJana mlikua mnajitia nyie mnajua sana, sasa zile 150MW ziko wapi [emoji1787][emoji1787]
Naona dalili ya kwamba mumepigwa tayari, kenya 55MW- tsh 310b
Tanzania 50MW- tsh 361bn
Bwhahaha!
Wacha kulazimisha mambo kijana wa Tandale. Picha nimepost ni hii hapaKwahiyo hapa ni Dar [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1817807
JNIA terminal3 inakaliswaDuu, hii ni kama Dulles International Airport.
Hahaha!!tena zanzibar ndio upupu haswa mazee[emoji1787][emoji1787]Wacha kulazimisha mambo kijana wa Tandale. Picha nimepost ni hii hapa
View attachment 1817909
Unaona ikifanana na hii picha yako?
View attachment 1817910
Unaona kama hizo picha mbili zinafanana? Angalia mpangilio wa nyumba na hara barabara kati ya hizo picha mbele then uniambie kama zinafanana. Hii Dar yenu mtaikana hadi lini?
Mzee tena upo timamu kweli, sasa hapo umeandika nini aisee..Kuna utofauti wa aina ya chanzo cha umeme HEP ni more expensive at the beginning but cheaper in the long run. Ila for thermal generators such as gas HFO ni cheap cost ya 1MW is equivalent to USD 1 million so dont compare onions to oranges
Haha!!jama akirudi utamjua nakwambia, atakuja akuzungushe hapaee mpka umkomeWanaleta nyumba za serikali, yaani ukitoka tu serikalini, unatoka na mizigo yako unaachia mwenzako atakayekuja. Hawawezi kununua units ziwe zao na familia zao permanent! [emoji1787]
Kiswahili kimemuumbua ๐๐๐V v +v z ๐๐ ๐ andika vizuri
Oya mwanangu juzi ulilalamikia suala la mziki wa kitambo bongo kwamba sio sawa na mziki wa leo, okay leo nimekuletea msanii kutoka bongo records kwa producer Majani, dogo anaweza sana, ladha flani kama miziki ya Joseph Haule, naamini UTAMPENDA, dogo anaitwa Rapchantaweka kichwa tu๐
Only mad man can deny that those pictures are not the same, narudia tena kukwambia hakuna mpangilio huo wa nyumba Tz hata huyo mwandishi anasema hapo ni Zanzibar lkn pia co kweli, eti Dar [emoji1787][emoji1787] unaumwa Mavi wewe, tangu lini Dar ikawa concentration ya nyumba km hiyo? Haitakuja kutokea daima dumu labda dunia iumbwe tena km anavyowaambia ichoboy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha kulazimisha mambo kijana wa Tandale. Picha nimepost ni hii hapa
View attachment 1817909
Unaona ikifanana na hii picha yako?
View attachment 1817910
Unaona kama hizo picha mbili zinafanana? Angalia mpangilio wa nyumba na hara barabara kati ya hizo picha mbele then uniambie kama zinafanana. Hii Dar yenu mtaikana hadi lini?