Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kibera ndio kitu kipo Nairobi man we za linganisha na hicho kijiji chenu, hakuna kitu kingine. Hapo tumewaruhusu. Na ususahau bado nangoja picha za magorofa za uswazi nicheke kidogo
Ni ukweli Ndugu,Tanzania hakuna Venye Tuko,Kenya mko sawa Sana,DAR Imejaa upupu kila Kona ya Nchi Ni Uswazi mtupu,mpaka Dodoma Ni Uswazi mtupu Sasa heri Dar Kabisaaa,Yani Ni Aibu Nchi imeongozwa na Ujamaa mpaka watu hawawezi kuendelea,Tanzania mpaka serikali Ina wivu,hukumbuki mpaka Maghufuli alipomwona mtumishi mmoja amenunua Gari ya kifahari alimsema mbele ya watu kwenye microfoni ATI kuwa amekuwa TajiriπŸ™ˆYani aibu tupu😬😬😬😬
 
Ur expressway the viaduct is 8km! Wacha ujinga!
Na ni zipi hizo flyovers 30?
Stop lying. What do you gain by lying? The viaduct will start at the Southern Bypass interchange at Eka hotel all the way to James Gichuru Road in Westlands. That's 11.1 km and it's well illustrated here

Kamati ya roho mbaya mna kazi kweli
 
bongo flava sio tena. harmonize diamond zuchu rayvany ka aribu..
pole. nilikua nimesau pia pamoja ray c,lady jd, TiD, AY, prof joseph haule, gangwe mob, bushoke, marlow, matonya, alikiba, alicom, mishi, KingwendoFamily(mapepe)........ etc
nipe mmda nta jaza list
 
The 0.1km in 11km is for whole of ubungo flyover+flyover zote dar is slum
 
Fala atabaki fala... Huko kwenyu ziko, au ndio hizo barracks mnawaweka, wakistaafu mnawafurusha? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hizo za KE ni Unit wanapewa zao kabisa, hela inatolewa kupitia sacco yao. πŸ˜‚ Mnagonja sana huko, labda akili zenyu ziwe sawa kwa civil servants πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡kionjo tu, zingine nilituma tayari huko juu, yaani wanafanya bonge la investment dadeq, Tz mtaota tu. Hadi jamaa wa boda boda KE, huwezi mfananisha na askari wa Bongo. πŸ˜‚





Office hizo mkulungwa? πŸ‘† πŸ‘† πŸ‘† Hata huna aibu...
Vijana wadogo lakini life wanaiona tamu tayari, mpaka usafiri unachukua kwa muda mfupi tu tangu uingie serikalini, inaitwa kujipanga! πŸ‘‡
 
Hizi Ni vitu moja wapo ambayo Mweheshimiwa Suluhu anajaribu kutusafishia,atatuboreshea Elimu na Tutawafikia Kenya hivi Karibuni
Chunga sana usimiminiwe matusi na wenzako hadi unyang'anywe uraia wako kwa jinsi ulovyoongea hapa. Wenzako hawapendi watu wanaoongea ukweli kama wewe
 
Sasa kwani nyie kufanywa watumwa ni kitu cha ajabu? Mbn kule Libya mnafanywa watumwa lkn cc tukiwafanya watumwa mnachukua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamtujui sisi wakenya Tukikasirika[emoji48]Mwache Kufanya mambo ambayo sio ya utu,Mwache kula Albino na Mwache kuteka wakenya[emoji51]Stupid move,Muraeshirya muku kua Mukenya Wana namuikare wega Kenya!!!Ithue Tutiedaga Urimu Nugo ishi[emoji48]
Mjaluo kutoka kibera kachukia [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chunga sana usimiminiwe matusi na wenzako hadi unyang'anywe uraia wako kwa jinsi ulovyoongea hapa. Wenzako hawapendi watu wanaoongea ukweli kama wewe
Huo ndio ukweli, na utabaki hivyo... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hamtujui sisi wakenya Tukikasirika😈Mwache Kufanya mambo ambayo sio ya utu,Mwache kula Albino na Mwache kuteka wakenya😬Stupid move,Muraeshirya muku kua Mukenya Wana namuikare wega Kenya!!!Ithue Tutiedaga Urimu Nugo ishi😈
Yule boy wa jiji, juzi ame save, angeenda kuliwa na dona ma.... nina! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Sasa kwani nyie kufanywa watumwa ni kitu cha ajabu? Mbn kule Libya mnafanywa watumwa lkn cc tukiwafanya watumwa mnachukua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ati Libya, hehe... Wewe dada zenyu wanati.. na Wahindi kule dubz na India, tena unaongea hapa! Yaani wameenda kazi au kudinyana huko, kazi kwenyu. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Chunga sana usimiminiwe matusi na wenzako hadi unyang'anywe uraia wako kwa jinsi ulovyoongea hapa. Wenzako hawapendi watu wanaoongea ukweli kama wewe
Kuna mTz hajui kiswahili?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chunga sana usimiminiwe matusi na wenzako hadi unyang'anywe uraia wako kwa jinsi ulovyoongea hapa. Wenzako hawapendi watu wanaoongea ukweli kama wewe
Ni Watz wachache sana wasioujua ukweli kuhusu maisha ya Kenya kwa sasa, ukiona mTz anasifia Kenya na anaujua ukweli ujue huyo anaongelea siasa.
 
Kuna mTz hajui kiswahili?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soma kitu huyo ndugu yako amesema hapo juu, wacha ujuaji. Umeona ametaja neno kiswahili wapi kwenye comment yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…