Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1970 vs 2018🤣🤣👇👇👇 nani wakumcheka mwenzie
View attachment 1816646View attachment 1816647View attachment 1816648
Mbona usipost hii ya abirià😁😁

images - 2021-06-12T231159.712.jpeg
 
Unataka iwe ya TBC? Hujaona na hiyo African Development Bank?
Kuna siku nilikuuliza ulete source yako yenye inaweka Tanzania mbele ya Kenya na umeshindwa hadi wa leo. Si unyamaze tu basis na uzidi kusoma number?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 leo nimecheka sana aisee wewe ni kilaza wa level yakipekee standard bank na middle class ni mbingu na ardhi

tanzania ina dollar millionares times 3 kenya uganda and rwanda combined

dar ina middle class wengi tena wenye vision zaidi kuliko nairobi

kenya ina maskini zaidi ikiongozwa na kibera na slumz zingine 😄😄😄😄

hata hili linahitaji ramli au????
 
Umeshindwa kujibu swali sasa ni kupayuka tu. Niletee picha za magorofa uswazini jinsi ulivyosema tuone. Stop beating around the bush. Acheni kulinganisha uswazi zenu na what you refer to as slums in Nairobi. Some of those slums are way better than the shit you have down there called dreamhouses

Agalia Kawangware slum below
View attachment 1816586View attachment 1816587View attachment 1816588View attachment 1816589View attachment 1816590

Linganisha na hizi dreamhouses zenu zilizotapakaa kila mahali
View attachment 1816591
View attachment 1816592View attachment 1816595View attachment 1816591
Mbona hii hupost sasa 🤣🤣👇👇👇👇au hapa wanaishi mbuzi na kondooo
1AAF8E92-9D3A-4357-AB8C-A138082B0D63.jpeg
C76610E7-3822-43F2-973E-F9767F07B811.jpeg
 
Hii ndio tatizo la kutetea kitu hauna ufahamu wowote kuhusu. Bongolala, hii article unaletanga hapa kila siku inazungumzia mataifa ambayo yanakuwa ranked from $3 a day. Sio mataifa masikini kama Tanzania ambayo ranking yao inaanzia $1 a day. Ki ufupi ni kwamba 40%ya wakenya( 20.8m people) wanaishi chini ya $3 kwa siku.

Huko kwenu, 28 million people live on less than a dollar a day. Jiulize kama mngepimwa kwa kiwango sawa na Kenya hiyo idadi ingefika ngapi?

Jifunze kuelewa 'evidence' unazoleta humu ndani zinazungumzia nini. Sio bora tu umeona neno Kenya limeandikwa mahali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 leo kenya inafananishwa na Zimbabwe jamani si maajabu ya dunia au kiyama kimekaribia? Ile ushuzi wa GDP uko wapi 👇👇👇👇

unemployment rate 40%
Extreme poverty worse than zimbabawe
Gap between rich and poor is high
Inflation 6 to 8%
Land is there for few

sasa hapa tunashindana nn???😁😁😁

sio mm niliosema ni world bank 👇👇👇
 
Niogope nini, Nairobi Kama hizi Ni zaidi ya 30,,tena tuna expressway overpass 10 km,, Western baypass ziko 7, southern bypass pia ziko kadhaa,Thika superhighway Ni more than 10, outering road ziko nyingi,,
Mombasa is now a new construction hub ya overpass,, Kisumu,Nakuru,and Eldoret
Zilijengwa miaka mingap iliopita 🤣🤣🤣
Kuna project gani munajenga nyinyi zaidi ya mchina kujenga expressway yake na kesho muwe watumwa kwa kulipa pesa ?? Ni project gani nyingine ???🤣🤣🤣🤣

wakat hio dam ni 3b usd hebu tafuta project angalau kama hio tuone 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom