komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Km hujui kingereza mtihani wa KNEC utaujibu vipi, kenya ni lazima ujue kingereza ndio uelewe mambo yanavyokwenda shuleniKwahiyo wewe mwalimu wako alikuambia kujua kingereza ndio kusoma, kwahiyo mchina anayewatawala hajasoma mana hajui kingereza, hii mikunya ni mijinga kweli kweli, yn tuna bahati mby sn kuwa na jirani wapumbavu namna hii![]()


Sio km nyie kingereza munekiweka km part two kwenye sarakasi lenu la utoaji elimu...
AkA ubabaishaji system, only in tanzania km si shobo ni nn


