Ipi hio hebu itaje πππ wakat hakusafiri kwenda nje ya africa ni expense gani hio wakat mlevi wenu anatoka kenya kwenda ufaransa kuomba mkopo wa km 5 railwayAnabana matumizi wapi, ilkuwa chenga kwa raia wa bongo. Expenses zake alizotumia kwa msafara wa magari ndani ya nchi, akiongozana na officials kibao nyuma ilikuwa kubwa sana. Hebu waulize wanajua kinagaubaga swala hilo. π
Siku utapata deni limefila 71 nitag mm nifunge acc πππ alaf cha ajabu budget ishasomwa bungeni sijui munahangaika na nnOpposition sio, kawaida wanakuaga na ukweli kwenye vitu wanavyosema. Hiyo inaonekana tu kwenye serikali nyingi duniani. Opposition wapo pale kuhakikisha kila jambo liko pahala yake! (in Somalian accent) π€£π€£ π€£ π€£
Chenye Mashashola amesema hapo juu! ππ€£π€£π€£πππ fungua usikulize vzr plz
Chenye Mashashola amesema hapo juu! π
π€£π€£π€£πππ fungua usikulize vzr plz
π€£π€£π€£ππππMm sitaki uhangaike bureOpposition sio, kawaida wanakuaga na ukweli kwenye vitu wanavyosema. Hiyo inaonekana tu kwenye serikali nyingi duniani. Opposition wapo pale kuhakikisha kila jambo liko pahala yake! (in Somalian accent) π€£π€£ π€£ π€£
Road trips ndani ya TZ..Ipi hio hebu itaje πππ wakat hakusafiri kwenda nje ya africa ni expense gani hio wakat mlevi wenu anatoka kenya kwenda ufaransa kuomba mkopo wa km 5 railway
Ingekuwa ya kwake angeingia nayo kaburini au huko anakoongoza malaika ili wakamshukuru.Na mbona miradi yake haisimami sasa ndio inazidi kusonga mbele ?? Chuki haikupi kula hio sahau
Road trips ni lazma kwasababu anakagua miradi ya nchi na alisema hawezi kwenda nje wakat ndani kuna safari ya maendeleo ππ na alisema watakaonda nje ni wasaidizi wake mbona hilo liko simpleRoad trips ndani ya TZ..
Juzi kazi mmekuwa mkimsema vibaya kuhusu hilo, njoo kule kwa uzi wa siasa uone vituko vyenyu. Wacha kujiliwaza hapa, na vipicha picha, kuja kule ujue kibaya na kizuri kinachowapata ndugu zako! Vitu kwa ground sio JF! π€£ π€£ π€£
Magazine ya 2016 mkuu. Mbona sahi wasichapishe tena? ππ€£π€£π€£ππππView attachment 1814301View attachment 1814303
Kwani ww hutokufa?? Au ww una uhakika wa kuishi milele ππ ww kama ulizoea vya bure hata kipindi hichi vya bure hakuna hio sahau, fanya kazi upate pesa ya halaliIngekuwa ya kwake angeingia nayo kaburini au huko anakoongoza malaika ili wakamshukuru.
Kwani uchaguzi umekaribiaIts now official the nairobi brt will be electric, first in africa.View attachment 1813853View attachment 1813854
So 2016 hakua rais ama ?? πππMagazine ya 2016 mkuu. Mbona sahi wasichapishe tena? π
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ uchaguzi tayari umeivaU
Kwani uchaguzi umekaribia
Tumeibiwa sana ndugu zangu,hii nchi ni tajiri π π π πMakufuli Pombe died at the Right Time,if not Tanzania could have headed The Venezuela way,Everything in TZ was breaking down and with down I mean completely Failed Country,Ombeni Mungu Suluhu alikuja kuwaokolea,eti Donor Kantreeeeeh ππ€£π€£π€£π€£
Umeibiwa na nani ?? Hebu taja aliekuibiwa unaleta chuki zako za siasa kwenye manufaa ya wengi??ππ ww tunakujua kuna sehemu uliminywa ipasavyoTumeibiwa sana ndugu zangu,hii nchi ni tajiri π π π π
My opinion, Magufuli regime ili prioritize ujenzi kwa kunyonga sector mingi sana, Uchumi wa Tz ni hafifu sana kufanya miradi bila kukopa, vyanzo vya kutega uchumi haviwezi tosheleza mahitaji ya budget, same as Kenya to some extent, itabidi unyime sector muhimu kadhaa fedha, ama ukope kimya kimya., otherwise education must be a priority.Kabisa,alafu sababu ya kutoajiri walimu ni ipi? Ukifuatilia hakuna
Tanzania is rich kiukweli., but unfortunately, little to show for it.Tumeibiwa sana ndugu zangu,hii nchi ni tajiri π π π π
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unanichukuliaje wewe
View attachment 1814236View attachment 1814237View attachment 1814238