ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
China kajaa kenya na ndio colony lake jipya kwa sasa 🤣🤣🤣 manake SGR yake, expressway yake, port ya mombasa inaelekea kua yake 🤣🤣🤣🤣 na bado na viboko juu anawatandika 👇👇👇👇🙆🏾♂️China to the world, dadeq! 💉💉💉💉🤣🤣🤣
