The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Ondoa usenge wako hapa, nani ajenge nyumba kwengine alafu akaishi kibera, hawa citizens wa kibera jinc walipigika watajenga kwa pesa gani? Mtu awe na nyumba yake alafu asiishi eti kisa biashara hiyo biashara yenyewe ni gani? Mkazi wa kibera awe na nyumba alafu aishi kibera mavi nani atakubali usenge huo?Sio ukabila[emoji134] Kwani Ni Uongo Jameni,Na ujue usiwaone wanaishi Kibera eti unathani hawana Nyumba zao amabazo wamejenga,Kisumu Ndio wamejenga na Nairobi wamekomboa ili wafanye Biashara[emoji857]
Arusha is a tourist town now do the maths yourselfNairobi ni city Inaeleweka lakini mbona arusha inakaribia cost of living ya nairobi? Hilo ndo swali?
Nicxie unawasikia wakenya wenzako wanatukana kabila yako?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]It is true, Kibera wengi ni Luo., liko wazi tu.., na kwao ni Nyanza, Nairobi ni hustle.,
Uhehehhe bongo kiwanja unapata 100,000ksh mtu hawazi kununua plot wala kujenga nyumba huku ni vitu vya kawaida sana, sasa kwenu imagine kenyatta alone anamiliki ardhi ya wakenya million 20Linajulikana kuwa nyumba za kurithi wabongo wengi ndio style yao, huku KE kijana ukioa unaenda kutafuta lako na familia yako, hata ikiwa bahati mbaya kutokee kitu nyumbani, hapo ndio mtaamua kama mandugu muuze hiyo nyumba ama mkodishe, sababu kila mmoja ana issue zake sehemu tofauti tofauti nchini! Nyie huwa mnasubiri chenyu, hebu tokeni mkajichanganye mjini huko, acheni ulaza!! 🤣 🤣 🤣
Muishi kwa kurent ila akili ya ardhi na nyumba achia politicians hata ww unajua🤣🤣Unataka tuishi kwenye madari ya nyumba ama, huyo anaye rent hata mshahara wengi sana, wewe hapo huwafiki hata kidogo, na bado wana rent. Rent kuanzia 25k mjini alafu ashindane na wewe, hivi hujiulizi, ka rent ni hiyo mshahara je, anapata ngapi??? boya kweli!!! 🤣 🤣 🤣 🤣
Hujui chochote kuhusu joho ww hata asili yake huijui uliza ufunzwe 🤣🤣🤣🤣 na yule kaka yake abubakar joho muuza madawa ya kulevyaHapo kwa joho, Chai chai chai, tena ya motoo!!! Walikuwa na hela hata kabla ya joho kuwa Governor wa Msa! 🤣 🤣 🤣 Unadanganya bongolalaz wenzio!? 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Maana yake Tanzanian residents in Arusha can easily afford basic needs than their Nairobian counterparts and this tells alot about Slum development in Nairobi
Sielewi kwamba……….?Wewe ni m'bongo kweli, mbona huelewi kiswahili??? 😂 😂 😂
Wangap hesabu sasa 🤣🤣🤣🤣Wangapi wamekuja basi, hivi nyie huwa mna nini? Haya tutaanza kuzipost hata sisi, manake ubishi huu, duh, wa kizembe zembe hivi! 😬😬😬
Sababu ya kuchelewa??? Hebu tuambie🤣Talking about loans and taxpayers money... 😂 😂 😂
View attachment 1808844
🤣🤣🤣👇👇👇 tuliahidiwa hiiiYa mizigo hiyo 👆... Ya passengers hapo chini 👇 👇 👇 🔥🔥🔥
View attachment 1808852
Achana na huyo. Most of the time I decide not to respond to his gibberish. Huoni aliniquote nikaamua tu kunyamaza!🍼 Nilikwambia usithani KE Ni TZ(Aka Bongo lala land) unathani eti mtu akikomboa Nyumba inamaanisha Hana Nyumba yake Ambayo amejenga,😆Watu wengi ambao wako Nairobi Wana Nyumba zao sehemu zingine,wamekomboa Nyumba Nairobi ili wafanye Biashara🙆🤐
Ona skyline yao inavyochekesha [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]Skyline from White Sands, Excuse the photo noise ( taken with a phone) from a long distance.
View attachment 1809011
View attachment 1809012
[emoji3516][emoji3516]Ona Mkenya mwenzio anatukana kabila yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]It is true, Kibera wengi ni Luo., liko wazi tu.., na kwao ni Nyanza, Nairobi ni hustle.,
Achana na huyo. Most of the time I decide not to respond to his gibberish. Huoni aliniquote nikaamua tu kunyamaza!
Faster tu naona ziko tano, na hiyo ni at small angle [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Same 3 buildings since 3years ago hakuna new better buildings zimejengwa?
Hizo ni ghorofa za kisasa, hivyo zinavyoonekana ndivyo hivyo hivyo hakuna editing hapo, ni ghorofa tamu sana kuziangalia hata with naked eyes [emoji102].Sio mtoto mimi ujue! [emoji51]
Hapa ulikuwa unamsema Nicxie au? Mana yeye anaishi kwenye kibanda cha urithi wa babu ushagoo na wapo 100 kudadadeki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe mnaishi nyumba za kurithi? Fanya kazi ujenge kwako wewe boya, unagojea za babaako? [emoji23] [emoji23] [emoji23]