Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi mkuu, hujambo. Wacha nichangamshe umati alafu nije kule base!... Ova! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Niko poa kabisa, haina noma!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Usitake nilete wakenya waliobaki mifupa tu Nairobi, turkana, marsabit, lamu, wajiir, pokot, mandera, Mombasa,, lodwaa,

Zile pictures huwa hata mimi zinanikifu ila ukitaka nitazileta huku in tones
Mimi nadhani utaleta data kumbe ni picha, haya basi fanya haraka
 
Uchumi wetu hautegemei mikopo kama huu πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ nchi imefeli kwenye kila sector leo hii wb bank wanasema munaufukara zaidi ya zimbabwe alaf unakuja zungumzia GDP hapa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Asante kwa picha za google hongera sana 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 jitahidi utafanikiwa
 
Wee, kateni miti bhana! Staki topic ya timber, tunajua mna supply timber, go to work fella! 🀣
We kichaa unafikiri tunakata miti au tunafanya forestry business?

Ardhi huku sio tatizo, kukuta mtu binafsi ana hekari 1000 ni kitu cha kawaida, so unataka hekari zote hizo alime malimao?

This is what people do then reap off your wallets in Kunyaland

In only 5 years without any strong investment people are becoming millionaires from timber business,

 
Asante kwa picha za google hongera sana 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 jitahidi utafanikiwa
Pole mazee, sio kupenda kwangu. Alafu usilie kidume, sawa! 😬😬😬🀣🀣🀣
 
Naton Jr, nilidhania kaburi kumbe ni kibao cha maelezo! 🀣 🀣 🀣 Well done
 
Tulia serikali ile na nyie bampa to bampa... πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ulitaka tusamehewe deni kama nyinyiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vipi yule mkulima na ndege yenu, manina
 
Naton Jr, nilidhania kaburi kumbe ni kibao cha maelezo! 🀣 🀣 🀣 Well done
Hilo shamba la mtu mmoja

Na hayo ndio most greenery places in Tanzania, halafu eti mnafikiri watu wanaharibu mazingira?

They are actually harvesting and replanting in intervals throughout the scheduled programme, so every time will be lush green kumbe watu are becoming billionaires

Businessmen in areas like Kariakoo and China are predominantly Populated by people from timber farming 😁🀣🀣😁

Kaeni mkijidanganya ni uharibifu wa mazingira 😁😁😁
 
Billionare sio, mmeongeza wengine au ni zile bilioni za Bongo tunaongelelea? πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…