Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Mzee baba, najua kusoma. It's just satire! 🤣Hio ni mercedes benz mzee punguza ushamba 😂😂😂
Mzee baba, najua kusoma. It's just satire! 🤣Hio ni mercedes benz mzee punguza ushamba 😂😂😂
Bado kuna vitu vingi sana ndio tuanondoka hvo 😅😅😅hapo kweny glass products tumeua![]()
Mzee baba, najua kusoma. It's just satire! 🤣
Usijali, omba mvua ipungue, bila hivyo you know how it turns from bad to worse, just like that! 🤣Sasa umepost nn??? 🤣🤣🤣 Hata sikuelew
Umeelewa lakini? 😂Usikasirike sasa 🤣🤣🤣🤣
😂 😂 😂 Wanaweza hata kukuhonga kitu kidogo na ulivyo na gadgets za uhakika watalia maana ukipiga picha mpk inzi mchanga anatokea Wallah!!!Ukienda usisahau kuja na picha ya Komora96NAkwambia siku nikienda watanyea debe yani wasiombe nipate safari mwaka huu🤣🤣
Nipe link hii mkuu tuisave 🤣🤣🤣
Mm napiga picha mpaka michirizi ya chupi na vilivyomo vitaonekana ntamwambia NDINDA aniazime ile camera yake ya go pro hero 8 au 9😀😀😀😂 😂 😂 Wanaweza hata kukuhonga kitu kidogo na ulivyo na gadgets za uhakika watalia maana ukipiga picha mpk inzi mchanga anatokea Wallah!!!Ukienda usisahau kuja na picha ya Komora96
Mvua ipungue kumbe ni matope ya mvua na ww unajua 🤣🤣🤣 nairobi bila hata mvua bado mavi yanaelea juu ya ardhiUsijali, omba mvua ipungue, bila hivyo you know how it turns from bad to worse, just like that! 🤣
Hesabu rahisi tuu chukua GDP toa GDP to debt ratio inabakia ngapi ndio tuongee baada ya hapoWhat about debt to GDP ratio???
tanzania 32%
kenya 86%
au mm nasema urongooo![]()
Hebu chukua tuone sasa 😁😁😁😁Hesabu rahisi tuu chukua GDP toa GDP to debt ratio inabakia ngapi ndio tuongee baada ya hapo
Tukisema hapa nchi imejinyea munaona kama tunawachukia 😂😂😂Hesabu rahisi tuu chukua GDP toa GDP to debt ratio inabakia ngapi ndio tuongee baada ya hapo
Vipi story ya lami kila pahali, inaendaje? 😂Mvua ipungue kumbe ni matope ya mvua na ww unajua 🤣🤣🤣 nairobi bila hata mvua bado mavi yanaelea juu ya ardhi
Hamna hela itakayobaki Kenya uchumi wa makaratasi tuu.Hebu chukua tuone sasa![]()
Hakuna nchi inajengwa kwa siku moja na utambue tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya unategemea itajengwa lami kwa siku moja ??😀😀😀 mbona muna wasiwasi sanaVipi story ya lami kila pahali, inaendaje? 😂
Huyo demu hiyo miguu au mikono?