Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkenya aliyempenda yule mzee, RIP JPM, basi alikuwa ana loose nut pahali upstairs! [emoji1787] He ruled with an iron fist, and you were the victims.
Sasa km ali rule with iron fist kwn alikuwa rais wenu? Kwn kuna mkenya alidhulika na uongozi wake? Mbn mnakuwa wanafki sn kwenye hamna?
 
Mkenya aliyempenda yule mzee, RIP JPM, basi alikuwa ana loose nut pahali upstairs! [emoji1787] He ruled with an iron fist, and you were the victims.
So ali rule mpk Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwezi kupost picture 2 za kenya posh areas bila kutanguliza cages, ni tajiri gani anakaa kwenye hizi standard of cages you are showing us? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Alaf eti matajiri wao hawana dream ya kujenga house kwa plan zao yani kuna kitu nyuma ya pazia wanajaribu kuficha lakini wapi🀣🀣🀣
 
Haya ameaza kulia sasa🀣🀣 sisi pia tumefika nairobi umeelwa tatizo la maji nairobi ni tatizo kubwa sana tena la miaka mingi sana wala huna haja ya kupita kulia na kushoto ikiwa state house inakosa maji unategemea nani atapata maji
 
Mwengine kwa hasira anakwambia mji haupimwi kwa slums🀣🀣🀣🀣 hawa watu nikucheka tu ukawaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…