Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hio ndio akili yao iko kichwani hana ndoto ya kumiliki plot wala nyumba kwasababu iko mikononi mwa wachache

mwengine anashangilia nusu ya nairobi kua pori wakat pori lina wenyewe wanasubiri fursa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenyatta family inamiliki ardhi inayo watosha mamilioni ya wakenya na wako humu wanakomaa na ubishi wa kijinga [emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio maana slums zinaendelea kuota kama uyoga.
 
Anadai workers quarter's za Kule kwa tea farms wamepewa bure hizo ghetto, as in permanent residents! 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 tulia urambe dawa zitabaki kua workers house na mostly ni farmers sasa
 
uuuuuuuuiiyhh!![emoji31][emoji31] ata nta piga nduru hapa........... kericho is my 'home town', mTz mgani anaongea vibaya kuhusu hapa.. atapata kichapo cha umbwa
Kericho [emoji174][emoji174][emoji174]

Kenyatta family inamiliki ardhi inayo watosha mamilioni ya wakenya na wako humu wanakomaa na ubishi wa kijinga [emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio maana slums zinaendelea kuota kama uyoga.
🤣🤣🤣👇👇👇👇👇wanashangilia pori
8514796F-19D4-4090-A085-E01CADBA04F5.jpeg
 
😂😂😂 We unaongea kuhusu nini wewe.? 😂😂 Huyu anawatia aibu wakenya wenzake .. usilazimushe tukuite mpumbavu
90% ya wakenya ni vilaza,wanafanana na Hugo jamaa..huyo jamaa hajaropoka ni mawazo ya wakenya wengi,ni wa kuwahurumia tu
 
Kenyatta family inamiliki ardhi inayo watosha mamilioni ya wakenya na wako humu wanakomaa na ubishi wa kijinga [emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio maana slums zinaendelea kuota kama uyoga.
Na slum zitakuwepo mpaka dunia inasmama🤣🤣🤣👇👇👇
 
Back
Top Bottom