ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
So estate imejengwa kwenye mashamba ya chai?? 🤣🤣🤣🤣 au hutaki kukubali kwamba ni nyumba wanazoishi farmers au unaona aibu kukubali ukweliWacha ubishi, leta post ya news zozote za hiyo issue. Unarukaruka nini sasa? 😂 😂 😂