Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

konza city, mavoko, machakos county!.. a purpose made Technopolis city that is still ongoing.. it will be the hub of all high-Tech solutions, it will be one of its kind in sub-saharan africa.. it is following the model of Silicon Valley, California, US. and hence dubbed 'Silicon Savanna'.
kenya is going places..View attachment 1800412View attachment 1800413View attachment 1800415View attachment 1800417View attachment 1800420View attachment 1800422View attachment 1800423View attachment 1800425View attachment 1800427

Oneni sasa nini anatuonesha 🤣🤣🤣
 
32 towers of 15 floors are coming up in Ngara at a go.

tapatalk_1622220018431.jpeg
tapatalk_1622220030834.jpeg
tapatalk_1622220036239.jpeg
tapatalk_1622220055005.jpeg
 
Nimeamini akili yako finyu kweli! 🤣 🤣 🤣 Hiyo si ni ile picha ya pale juu? Nimekwambia nitumie post/link ambayo inayoonyesha wakulima wakikaa kwenye Estate za kupewa na mwajiriwa wao! 🤣
Sasa unakataa au unabisha ??
hvi ww unafkiri hapa utanidanganya mm 🤣🤣🤣🤣 hio mada siunaona wenzako wamekaa kimya au hujaelewa
 
Yaani saivi mpaka wengine wameshaanza na ujenzi wa nyumba kabisa, kama huyu tayari yupo full equipped sababu anasema yupo kwenye ujenzi Arusha

Anavyowambia wamarekani wenzake kwamba yupo kwenye ujenzi tena wa dream house ndio wanazidi kuvamia bongo zaidi 😅😅😅

Kuna mwingine yupo vijijjini huko anasaka mashamba ya kulima, yaani hawa wamarekani ni kama Tanzania imewafungulia dunia walikua shimoni 😅😅😅


Wamejazana na wanawake zao tunawaoa kweli kweli 😀,basi wakunya wanaumia kweli na wivu wao,wana kazi ya kuwainvite tu waende na kunya but jamaa wanawaapuuza 😀

Screenshot_20210528-200417_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom