Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Precisely
 
Nilishakujibu kwamba matajiri hawapo Nairobi. Ama hiyo si jibu?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hasiraaaaa weeeeeeeh
 
Rudi page 5 za nyuma ukasome alaf uje unijibu vzr bila hasira 🀣🀣🀣🀣
 
Hebu tuambie hayo maeneo yanaitwaje sisi tukusaidie kuleta picha nzuri na bora kwakukusaidia ww na kuwasaidia wakenya wenzio ukipata majina naomba unitag mm
Sasa unajifanya hujaona hayo majina yameandikwa chini ya hizo picha ama leo umekuwa kipofu?
 
Rudi page 5 za nyuma ukasome alaf uje unijibu vzr bila hasira [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekula jibu murwa mpka umechnaganyikiwa, kila mji unataratibu zake na hakuna kitu km nyumba za ndoto zako hku..
Fuata utaratibu wa sehemu km huwezi kajenge kwenu kijijini hyo dream house yako[emoji1787][emoji1787]
 
Wanaumia snaa, eti mji wa watu milion 7 suburban areas kuna kaa kifala hvo, yani km kijiji kikubwa vile[emoji1787][emoji1787]
 
Hawawezi na hawatakua nazo mpaka kiyama na ndio maana unaona swali langu ni la moto sasa analikwepa kwepa 🀣🀣🀣 nilitaka nimfundishe kitu leo asingenisahau mpaka kufa 🀣🀣🀣🀣🀣
Watoe wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…