Hzo ndio nyumba za middle class dar[emoji1787][emoji1787]Si ndiyo hizi hapa nyumba wanazoishi Watz wa kawaida au hamtaki? Kwn wenzenu wanaporudi huko kwenu hawawaambii ukweli vile mTz wa kawaida anaishi, ona dream houses with no slums [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1664][emoji205][emoji86][emoji85][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji2781][emoji706]View attachment 1795431View attachment 1795432View attachment 1795433View attachment 1795434View attachment 1795435View attachment 1795436View attachment 1795438View attachment 1795439View attachment 1795440View attachment 1795441View attachment 1795442View attachment 1795443View attachment 1795444
Ndio mi pia kwa upande wangu kaniacha hoi hyo mzee, yani kiufupi anatafuta pa kuegemea tu ilimradi na yeye aonekane yupoHata Mimi ananishangaza. Sijui kama anapinga ama anaunga
Kwn we ndio unanijua, hata mimi pia nina uwezo wa kuwalisha watanzania wote..Mm nina kazi yakukulisha ww na familia yako miaka 100 so jaribu kua na adabu hasa kwa mtu humjui [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na huu mchezo hautaki hasira kabisa
Sasa nani kaanza kumwambia mwenzie atafute kazi yakufanya au unanichukuliaje? Au unachuki zako binafsi na ichoboy??😁 tulia bwana mdogo kua mpole kabisaKwn we ndio unanijua, hata mimi pia nina uwezo wa kuwalisha watanzania wote..
Usichezee watu usiowajua weye.
Kwa hivyo hata Johannesburg pia haijajengwa?Jengeni kwanza mupate density ya kushindana na dar, nusu ya nairobi ni misitu swali linarudi ni milki ya nani hio misitu kwann watu hawana ndoto ya kupata plot nairobi?? Kuna maswali mengi sana nyuma ya pazia🤣🤣🤣
Nilikuuliza unataka nikuletee picha ya nyumba, quantity surveyor, contractor pamoja na jina ya mwenye nyumba hadi na number zake za simu ndio ujue kajenga kulingna na ndito zake hukunijibu. Wewe akili yako huwa inapiga laps kidogoSoma swali vzr alaf jibu kwa uangalifu 🤣👇
Nusu ya Nairobi ni misitu kwa sababu zaidi ya nusu ya Dar ni uswaziNikuulize swali kwann nusu ya nairobu ni misitu ??? Unaeza nijibu hilo swali kwa umakini wa hali ya juu??🤣🤣🤣🤣
Kuwa na chuki na mtu km wewe hyo itachukuliwa km upungufu wa akiliSasa nani kaanza kumwambia mwenzie atafute kazi yakufanya au unanichukuliaje? Au unachuki zako binafsi na ichoboy??[emoji16] tulia bwana mdogo kua mpole kabisa
Najua jinsi unavyoumia. Hapo Ridgeways huwezimiliki hata kuku. Unakejeli nyumba ya mamilioni wakati wewe unaishi uswazini hapa hata pesa ya kupaka rangi au kubadilisha paa ya dreamhouse yako ndio hunaHzi ni estate 🤣🤣👇👇👇 rudi kwenye mada alaf elewa somo kwanza
View attachment 1795582View attachment 1795583View attachment 1795584
Wakati wa Magu nilikuwa siwazi sana mpunga .. ila sa hizi najiona suddenly nawaza sana were are gonna get 2.5 bil usd ..but i believe hadi maza anaondoka tender itakuwa tayar and part of it itakuwa loan
UDART ndo wana management mbovu hawajanunua mabasi ya kutosha halafu wametibua mfumo wa epayment!Tutapiga makelele hapa ila Dart ina management mbovu na ndo wanao cost mwendokasi inabidi company ziwe mbili kuwe na competion
Yani nmecheka kwa sauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa ndio wanashindana na dar [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]View attachment 1795662View attachment 1795663View attachment 1795664View attachment 1795665
Nilichogundua ni kwamba misitu ya Nairobi ina wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nusu ya Nairobi ni misitu kwa sababu zaidi ya nusu ya Dar ni uswazi