Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee usitujazie server na nyumba moja moja, leta jina ya mtaa na aerial🀑🀑
 
Mzee usitujazie server na nyumba moja moja, leta jina ya mtaa na aerial[emoji1782][emoji1782]
We fala kweli yn picha za ground za uhalisia utaki unataka picha za uongo ambazo zinaficha mpk uchafu au sio, ata hivyo asante kwa maumivu na nitaendelea kuwapiga na uswazi mana nmegundua nyie kiboko yenu ni ground tu no wonder [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzee staki mipasho mimi, leta jina la mtaa na aerial kama tuusan
 
Hiyo kijichi na mbezi uliopost pa kawaida sana[emoji849][emoji849]
Hapa ndio pazuri, Wakenya leteni picha wanapoishi Wakenya wa maisha ya kawaida tofauti na hizi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hzi ni estate πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ rudi kwenye mada alaf elewa somo kwanza
 
Wakati wa Magu nilikuwa siwazi sana mpunga .. ila sa hizi najiona suddenly nawaza sana were are gonna get 2.5 bil usd ..but i believe hadi maza anaondoka tender itakuwa tayar and part of it itakuwa loan
Aisee km mm.
 
Hiyo Ni Runda mzae. Nenda hata South Africa Johannesburg utagundua mfumo ni huo huo in affluent neighborhoods. Utazunguka Tanzania nzima huwezi pata mtaa kama Runda, achana mbali na ile Masaki iliyojaa apartments
Soma swali vzr alaf jibu kwa uangalifu πŸ€£πŸ‘‡
 
Jengeni kwanza mupate density ya kushindana na dar, nusu ya nairobi ni misitu swali linarudi ni milki ya nani hio misitu kwann watu hawana ndoto ya kupata plot nairobi?? Kuna maswali mengi sana nyuma ya pazia🀣🀣🀣
 
Hzi ni dream house za watu kadhaa wa kadhaa sasa mwambie akuoneshe dream house za matajiri wa nairobi akipata tu unitag 🀣🀣🀣🀣🀣 matajiri wao pia wanaishi kwenyw estates aidha kwa kununua u kurent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…