Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona nkm umekasirika mzee
Eastleigh huiwezi bana
images.jpeg-16.jpg
 
Mabongo mumezoea kuleta Picha za kibera😆Mbona hamleti slum Zenu za Mbagala,Manzese,Kigogo,Vuvunguti,Tandale,etc🙈 Yani Ni Nyumba za Nyasi na matope Tena Zina uvundo,Nikama Makazi ya Nguruwe🤮Alafu hio Kibera munatajanga apa🤪Imejaa Maskini Wachaga,Wasukuma,Wapemba na Waganda(Wagisu) Yani mpaka hawana aibu wakitaka kupewa uraia kilasaa wanalilia Uhuru,Rudini kwenu🤪#THe Best 007
 
Wakenya

Kwanza mnatakiwa kujua Dar es salaam imegawanywa katika wilaya 5:-
1. Ilala
2. Kinondoni
3. Temeke
4. Ubungo
5. Kigamboni.

Wilaya zimegawanywa katika Kata.
Kata zimegawanywa katika mitaa.
Sasa nitaanza wilaya kwa wilaya ili mkome.
 
KATA ZA WILAYA YA ILALA

  • Buguruni
  • Chanika
  • Gerezani
  • Gongo la Mboto
  • Ilala
  • Jangwani
  • Kariakoo
  • Kimanga
  • Kinyerezi
  • Kipawa
  • Kisutu
  • Kitunda
  • Kivukoni
  • Kiwalani
  • Majohe
  • Mchafukoge
  • Mchikichini
  • Msongola
  • Pugu
  • Segerea
  • Tabata
  • Ukonga
  • Upanga Magharibi
  • Upanga Mashariki
  • Vingunguti
 
Leo nimekutana na mzimbabwe mmoja tukawa tunabadilishana mawazo, akaniambia vipi Dar nikamjibu kama unavyoiona, akaendelea kusema kwamba Dar hakuna mambo ya mask kabisa nikamwambia vipi Harare, akasema kule ni mask tu, nikamuuliza vipi Dar unavyoona kuna corona? Akanijibu hakuna corona hapa Dar.

Tukaendelea, nikamuuliza unadhani ni kwanini? Akanijibu Magufuli alikuwa na akili nyingi sana, nikamwambia lkn ndio keshakufa, jamaa akanijibu westerners killed Magufuli am telling you, dah roho ikaniuma sn.
 
Back
Top Bottom