Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Safaricom winning as usual.

Screenshot_20210522-192538_Chrome.jpg
 
Leo nimekutana na mzimbabwe mmoja tukawa tunabadilishana mawazo, akaniambia vipi Dar nikamjibu kama unavyoiona, akaendelea kusema kwamba Dar hakuna mambo ya mask kabisa nikamwambia vipi Harare, akasema kule ni mask tu, nikamuuliza vipi Dar unavyoona kuna corona? Akanijibu hakuna corona hapa Dar.

Tukaendelea, nikamuuliza unadhani ni kwanini? Akanijibu Magufuli alikuwa na akili nyingi sana, nikamwambia lkn ndio keshakufa, jamaa akanijibu westerners killed Magufuli am telling you, dah roho ikaniuma sn.


Wakianza kupima ndio sheshe litaanza, kwakua testing kit ndio zogo lilipo sio reliable na ndio utaona hispotal zinajaa.
 

hii ndo inafanya SGR kuwachelewa ikifike kituo cha Dar mwezi November?.. nasikia Kadogosa kasema Pugu wataanza August ila kule kituoni 0km wataanza November.. anasema design ya zile nguzo mbili zimewasumbua.. sasa sijui inarelate na hii bridge
 
Back
Top Bottom