Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikatae nn kwamba machakos na kiambu sio counties ama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hoja kwishaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
New jersey na pennyslavannia states mbona kuna sehemu zipo under new york metro..
Endelea kubisha pekeako mzee, uzuri km ni somo limeingia
 
Bado unandoto za kushindana na dar [emoji1787][emoji1787] yani umekosa ndoto ya kumiliki ardhi bado unandoto ya kushindana na dar[emoji1787][emoji1787]
Rudini kwenye mada hapana kukimbia kimbia ovyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Dar haina metro[emoji2960][emoji2960]
We ukitaka lia, levels zake ni akina bujumbura mzee
 
Rudi kwenye mada is metro a county??? Na kama sio basi acha kiambu na machakos zifanye kazi yake kama county[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Jibu lako hilo hapo chini kilaza[emoji1787][emoji1787]new jersey ni metro ama ni state[emoji1787][emoji1787]
20210521_171347.jpg
 
Niaminishe mm kua metro ni county ??[emoji1787][emoji1787] Nifunge acc sasa hvi kwani kenha hawana budget??
Hii haitabadilika mpaka dunia inasmama[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] View attachment 1793300View attachment 1793301View attachment 1793302
Niaminishie mimi km new jersey na pennyslavannia sio metros under new york city ni states[emoji2960][emoji2960]
Kilaza bana
Usijali lkn, mi nipo kw ajili ya kukufunza sitokubali mods wakuachilie kirahisi hvo..we uiienda tutakosa vichekesho[emoji1787]
 
Sijaona slum yoyote hapo. Zaidi sana umetuletea picha ya roof za Nyumba.
Tukisema slums ni Nyumba za mabati kuanzia chini mpaka juu.

Tanzania Nyumba ni za cement bricks mzee.
Wewe shuka chini uone.
Dar kw ukubwa wake inatakiwa sai iwe km akina new york ki development, simaanishi viwango mie nisije nikapigwa vitasa..
Dar inatakiwa kw sasa iwe imejengeka atleast 70% lkn mzee bado sana, upo dar lkn bado barabarani unakatiza misitu tena eti sio kw ajili ya greenspace ni maendeleo hakuna
 
Mbona unajichosha na terminologies!?
Nairobi County itabaki Nairobi county haiwezi ongezeka. Size yake ni 696 km²
Na nairobi metro itaongeza wigo na kunyakua maeneo jirani km inavyofanya sasa hivi..
Pole sana lkn
 
Dar kw ukubwa wake inatakiwa sai iwe km akina new york ki development, simaanishi viwango mie nisije nikapigwa vitasa..
Dar inatakiwa kw sasa iwe imejengeka atleast 70% lkn mzee bado sana, upo dar lkn bado barabarani unakatiza misitu tena eti sio kw ajili ya greenspace ni maendeleo hakuna
Asante kwa kutambua level ya Dar ni New York.
 
Na nairobi metro itaongeza wigo na kunyakua maeneo jirani km inavyofanya sasa hivi..
Pole sana lkn
Mzee Nairobi ni Nairobi tu. Hata sisi tupo na Kanda ya Pwani ambayo inaunganisha Mkoa wa Morogoro, Pwani na Dar.

Nairobi size yake ni 696 km²
 
Hii ndio barabara best tanzania nzima, damn!!jamaa kaleta best of the best.congratulations bro
Barabara hii na ile uliyoiponda ni moja na mkandarasi ni mmoja,kipande hiki kishakamilika kipande ulichodai kibaya bado kipo under construction ndio ukaona bado wamepanga mapipa
 
Back
Top Bottom