babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Nchi masikini ni ile inayotegemea misaada ya chakula karne hii ya 21.Sasa kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani masikini zaidi kushinda nyingine?
Nchi masikini ni ile inayotegemea misaada ya chakula karne hii ya 21.Sasa kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani masikini zaidi kushinda nyingine?
Kibaka ni low quality bro acha ubishi wa kijinga hapaBarabara hii na ile uliyoiponda ni moja na mkandarasi ni mmoja,kipande hiki kishakamilika kipande ulichodai kibaya bado kipo under construction ndio ukaona bado wamepanga mapipa
Kutegemea ni nn?Nchi masikini ni ile inayotegemea misaada ya chakula karne hii ya 21.
Hayo ni maneno yako lkn bado hamna metro dar, tena unateseka ukiwa wapi mzeeMzee Nairobi ni Nairobi tu. Hata sisi tupo na Kanda ya Pwani ambayo inaunganisha Mkoa wa Morogoro, Pwani na Dar.
Nairobi size yake ni 696 km²
Mbona unajishuku?Kutegemea ni nn?
Kilaza katika ubora wakeAsante kwa kutambua level ya Dar ni New York.


Wanenguaji si kuna maswali yana wachoma aiseeMbona unajishuku?

Treni inapitia kuzimuHapo iwe parklands ya Dar es Slum. As I can see here slums run up to the blue towers. Stop forcing things. Ya kwenu we don't force we prove using your own photos.
View attachment 1793636

Nairobi metro, pole sana
They don't understand. A metro is formed when a town or city outgrows its administrative boundaries, swallows the nearby towns to form one huge built up area.Nairobi metro, pole sanaView attachment 1793650
However, Nairobi cannot be compared to any other city in East and Central Africa because those are the real shit holes.
View attachment 1793652



Mzee unajichosha bure tu.Nairobi metro, pole sanaView attachment 1793650
Unaposema development 5% taarifa hizi umezitoa wapi!? Kunyaland na kupika data.Kilaza katika ubora wake
Dar ni kubwa hata kuliko new york bro lkn development only 5%
Usindanganywe eti barabara yote unafanana hivo,,Ni kaeneo tu ka less than 1km,😁 kwingine ni normal road za kijuakali😂Hii ndio barabara best tanzania nzima, damn!!jamaa kaleta best of the best.congratulations bro