Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Sa hii ameingia kwa metropolitan ππ jamaa yuarukaruka kama churaπHapati pichaππ, but for now najua ameelewa.
mfano wapi sisi tunaongelea nairobi mada iko nairobi ndipi kuna slums za dunia hii sisi hatuongelei nakuru mada iko nairobi π€£π€£Hapati pichaππ, but for now najua ameelewa.
Mm au π€£π€£π€£πππ mushaanza kukabana sasaSa hii ameingia kwa metropolitan ππ jamaa yuarukaruka kama churaπ
Jitie hamnazo hadi basi, wewe sio mkenyaπππππ
View attachment 1790730
Unatoka nje ya mada ??? Tulizana kwenye mada tumalize alaf niulize swaliπ€£π€£π€£π€£Maana ya metropolitan nini? Twende pole poleππ
They are hard to go away, I have Experience [emoji23]
Ni mwehu, anajua kukwepa namuelewa sanaππππ., analazimisha fikra zake zionekane eti ni ukweli,ππ., wachana na yeye apumue., ama kubaliana tu na yeye, ilimradi tuπππ.,Sa hii ameingia kwa metropolitan ππ jamaa yuarukaruka kama churaπ
Naona munapeana matumaini sana kwa hasira na ghadhabu kali sana π€£π€£π€£ nye nye nye sisi tuna urithi ushagoooHapati pichaππ, but for now najua ameelewa.
Nani anakwepa nani kaanzisha mada ya metro π€£π€£π€£π€£πππ unajitia kidole alaf unanusaNi mwehu, anajua kukwepa namuelewa sanaππππ., analazimisha fikra zake zionekane eti ni ukweli,ππ., wachana na yeye apumue., ama kubaliana tu na yeye, ilimradi tuπππ.,
Jitie hamnazo hadi basi, wewe sio mkenyaπππππ
View attachment 1790730
Unajifanya chiziππππ wewe ulisema hakuna kitu kama nairobi metro ndipo Don YF akakuletea hio map uone. Sasa umeanza kulialiaπππMm au π€£π€£π€£πππ mushaanza kukabana sasa
π€£π€£π€£πππππUnajifanya chiziππππ wewe ulisema hakuna kitu kama nairobi metro ndipo Don YF akakuletea hio map uone. Sasa umeanza kulialiaπππ
Mada hapa ndoto ya wakenya wa nairobi hawana ndoto wala malengo ya kumiliki ardhi nairobi na pia kurent bedsitter haina maana kwamba mtu anakua middle class hakuna kukwepa mada hapa π€£π€£π€£π€£π€£π€£
landa kubwa nairobi ina milikiwa na politicians, taasisi za serekali na matajiri wachache sana
Hii ndio mada πππππππ€£π€£
ulipoambiwa nairobi outgrew its borders ukapinga sasa ukaletewa map umeanza mipashoππππ mzee kubali umepigwa hapaππNani anakwepa nani kaanzisha mada ya metro π€£π€£π€£π€£πππ unajitia kidole alaf unanusa
Ww umesema watu wanajenga nje ya jiji la nairobi nikakwambia lazma waende huko kwasababu ndoto za kununua ardhi wala nyumba nairobi hakuna π€£π€£π€£ na wengi wanakimbilia hapaπ€£π€£ππππUnajifanya chiziππππ wewe ulisema hakuna kitu kama nairobi metro ndipo Don YF akakuletea hio map uone. Sasa umeanza kulialiaπππ
Watampigia.Nimemaliza tayari sasa ruksa kutapika ruksa kutoa nyongo ruksa kutoa utumbo mdogo na ni ruksa kuharisha kwa maana sina namna π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π π π π πππππView attachment 1790568View attachment 1790569View attachment 1790570View attachment 1790571View attachment 1790574
Mzee rudi kwenye mada π€£π€£π€£ ww hutamani kua na nyumba nairobi hebu ongea bila hasira na mawazo najua ni ndoto hebu ifanye ndoto kama kwei nijibu plzπππulipoambiwa nairobi outgrew its borders ukapinga sasa ukaletewa map umeanza mipashoππππ mzee kubali umepigwa hapaππ
Number yake watapata wapi π€£π€£π€£ nishawanyuka tayar kumbe hata slums zao zinamilikiwa na serekali hebu chukua 2.5m kibera hawana ardhi wala ndoto kachukue na mathare uchanganye na makuru kayaba π€£π€£π€£π€£π€£π€£ ni kweli kabisa 70% wako kwenye slumsWatampigia.
π€£ π€£π€£Number yake watapata wapi π€£π€£π€£ nishawanyuka tayar kumbe hata slums zao zinamilikiwa na serekali hebu chukua 2.5m kibera hawana ardhi wala ndoto kachukue na mathare uchanganye na makuru kayaba π€£π€£π€£π€£π€£π€£ ni kweli kabisa 70% wako kwenye slums
Sasa kajilipua πππ ushakubali nairobi imepanuka mpaka kiambuππππ kizungu panaitwa metropolitan region, rudia tena metropolitan regionWw umesema watu wanajenga nje ya jiji la nairobi nikakwambia lazma waende huko kwasababu ndoto za kununua ardhi wala nyumba nairobi hakuna π€£π€£π€£ na wengi wanakimbilia hapaπ€£π€£ππππ
View attachment 1790745View attachment 1790746
Njoo u edit hku basi ndio tukuelewe vizuri[emoji23][emoji23]huenda ikawa akili ilikua faster kushinda vidole wakati wa ku type..Hujanielewa..angalia hizo ndinga zote hapo halafu nitajie ipi ya bei mbaya