Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sold to who ?? Nani ananunua estate ?? Nani ??? Hvi wewe unaniona mm sijui maisha ya kenya au ??? Nani wakununua huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda watoto wa politicians na watoto wa matajiri wachache
Watu kibao wanamiliki appartments jomba acha makasiriko[emoji23][emoji23]
Tena narudi tena wengi sana wanamiliki appartment na wala sio watoto wa politicians wala nini
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mimi kuonesha sehemu majority of Kenyans calling home ndio roho mbaya? πŸ˜†πŸ˜†
Debate ilikua nini wewe kilaza?., middle class na middle lower residentialsDar vs NairobiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Wapi za Dar? Kichapo cha mbwa sasa ni kilio na matako ya Nairobi.., kama una kende weka hapa za Dar tuzione, umekosa na hautopata, kwa vile hazipo.., kama ziko mwaga picha...,nilinganishe pole poleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., Leo memenyamba vumbi hadi rahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Hamna mzee[emoji23][emoji23]
Mitaa ya kifahari ukanda huu kenya ndio babayao
 
Kaeni kwenye bedsitter mukilipa kodi alaf mjihesabu midlle class[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini ndoto yakua middle class in real hamutakua nayo mpaka dunia inasmama
Nenda ka edit[emoji23]
Si utakufa kw presha jamani
 
Eti middle class hana uwezo wala ndoto ya kua na ardhi wala nyumba nairobi alaf mtu anahesabika middle class[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 1789573
Kuna siku nilipiga picha shamba letu nikalipost hapa jamaa wakaufyata[emoji23][emoji23]
Mzee baba ni viwanja vya mipira wala siongelei kiwanja kimoja
 
Watu kibao wanamiliki appartments jomba acha makasiriko[emoji23][emoji23]
Tena narudi tena wengi sana wanamiliki appartment na wala sio watoto wa politicians wala nini
Hilo huyo hawezi kubali, utachoka bureπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., wamehema wametafuta Dar yote wamekosa za kuleta sasa wanatafuta matako ya Kenya kujiliwaza., Wameona vumbi leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., Dar ni CBD tu.., kazi kwisha.., wamebaki na hekaya za abunuasiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Eneo lao wanaloishi lina ukubwa sawa na mombasa nzima [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bwahahaha!!umekasirika[emoji23][emoji23]
Walalahoi dar kibao aisee, km population ya mitaa ya kifahari ndio hyo jamani..
Wengi wenu wamejaa uswazi
 
Huwa wanasema humu wana interchange nyingi kumbe huwa wanahesabu na hizi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1789747
Hii flyover Mbona hujawahi kutudokeza kama ipo Nairobi? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 1789745
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Hii ni pedestrian overpass! Haijafika level ya flyover!
Mjifunze maana ya flyover msilete elimu yenu mbovu hapa
 
In 2018 kenya had 22,000 cooperative societies with 14million members and 6.4$ billion in savings making us the second on the continent.
 
Ushawahi kuona wapi middle class akaishi kwa bedsitter au room ya ku-rent????..acha ushamba
 
Ushawahi kuona wapi middle class akaishi kwa bedsitter au room ya ku-rent????..acha ushamba
Hizo estates tumeweka ni low middle class, very soon naachilia middle class estates. Alafu mtafundishwa mara ngapi real estates hazikodishwiπŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…