Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikuletee appartments kwan ww unafkiri maisha ya tanzania mtu anasubiri appartment akodishe wakat ardhi iko nje nje na uweza wa kujenga mtu anao 🀣🀣
Kwani hizi hapa zilizojaa Masaki sio apartments? Ubishi haisadii chochote bongolala. Your best neighbourhood ni apartments kushoto kulia

Apartments kama hizo huwezipata Runda, Muthaiga ama Karen. Hata Loresho sidhani kama kuna apartments
 
nyie wakunya [emoji1139][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]

njooni mtoe ushamba apa[emoji116]
#azam wakifanya vitu vyao!View attachment 1788817
Mshamba yaani unafikiria Azam ni duniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ata Uganda kunazo, yaani media equipment inakutia orgasmπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., hizi ni vitu vya kawaida in the media world, uliza anyone in the media industry, ukienda ata Kigali utapata, especially during sports coverage ziko tena sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Kampala wanazo, sitashanga na Chad piaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kweli ndio mnatoka poriniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., kuna siku mwenzako alipost speed gun ya traffic police kama chombo Cha ajabu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., mwingine naye kaleta modern trucks za kuzoa taka mjiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., na pia studio za Tv eti big dealπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., yaani nyie mbona washamba hivyo?., Ndio mnaziona kwa sasa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., balaa!,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
wewe shoga la jela Unayajua sana matusi eeh?
 
wewe shoga la jela Unayajua sana matusi eeh?
Lishamba kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Nenda ukalilie kwa choo, umejiharia humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., nilikuambia utume ujinga?.., jiangalieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., next time do a research kwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Wame-order Boeing 787-8 mbili na si moja!

 
Kwa hivyo hawa wasioishi kwenye apartments ndio matajiri? Hizi ndio nyumba zinazomilikiwa na matijiri wa Dar πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


No thank you, endeleeni tu na huo utajiri wenu. Hatuitaki! πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Low IQ hawezi shika chochote, akili zimeganda kishenziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Ss km Wakenya wengi wanajenga vijijini mbn hatuzioni hizo decent houses huko vijijini zaidi ya huts?
Refer: Afrikan Traveller on youtube akujuze Kenya., utaviona tu.,Tz bado sana, ni Kiswahili najifunza kutoka kwenyu humu, nothing to showπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Masaki 95% ni nyumba za matajiri wenyewe na wanaishi wenyewe appartment ni chache sana kwa wageni tatizo lako ww unauelewa mdogo sana juu ya dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na kuna baadhi ya hotel kwa ajili ya wageni pia na hio masaki ni kubwa vibaya sana yanu kubwa kweli kweli πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kila siku nakuambianga hujui vitu unasema. Huwa huelewi kabisa, wewe bora tu unaongea. Kenyans have the highest purchasing power than any other people in this region - another fact that you know but just ignore or totally don't know.
Huwa wanajitia hamnazo kabisaa.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa unakataa hapa Ni maeneo ya yombo??zoom hii wacha kuchagua penye pazuri
View attachment 1789198View attachment 1789198
@kikihboy maisha ya Tanzania kila mtu anaweza kujenga popote pale haijalishi tajiri au maskini sie tumechanganyikana ndo maana kila sehemu hata vijijini huwezi pita nyumba 10 hujakutana na nyumba ya kisasa

tanzania ujenzi yani style unabadilika unaendana na wakati mtu aliejenga mwaka 2010 hawezi kulinganisha nyumba yake na ya sasa now days vijana wanafyatua vitu vizuri si mchezo
sie wazee tumepitwa na wakati tena

tanzania raia wengi tumelinganalingana kipato,kiuwezo ,pia ujenzi huku ni rahisi sana!





nyumba kama hizi unaeza kutanana nazo popote pale [emoji116]
 
Kila siku nakuambianga hujui vitu unasema. Huwa huelewi kabisa, wewe bora tu unaongea. Kenyans have the highest purchasing power than any other people in this region - another fact that you know but just ignore or totally don't know.
Haya ona sada unachoandika ni kitu gani 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hvi mwenye nyumba anaishi kwakwe na aliepanga nyumba nani mwenye nafuu ya maisha hata kua na ndoto za maendeleo, ongea tu ukweli japo inauma πŸ˜‚ umesema mwenyewe kua ardhi nairobi ni ghali nikakujibu ndio ni ghali na inamilikiwa na wachache sana na hao wachache wengi wao ni politicians na hili huwezi kataa mpaka dunia itasmama 😁😁😁😁

ardhi inayorithiwa ni ile ya ukoo vijijini au ya familia na familia za kenya sio za mtoto mmoja au wawili au watatu ni familia kubwa unakuta ina watu zaidi ya 15 saaa unategemea kwenye akili yako utawazia kiwanja cha urithi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

hvi wewe Nicxie tuongee ukweli wa dhati hvi hutamani kua na ardhi nairobi na ukawa na nyumba ongea ukweli kutoka moyoni 😁

Narudia kukwambia maskini wa tanzania ana nafuu mara 100 kuliko maskini wa kenya na hili hailitabadilika mpaka kiyama go east go west
 
Sisi tumejenga nyumba zetu Dar πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hatuishi kwenye estates za investors. Alafu jamaa anakuwa tu proud!
I remember days when they used to deny these aren't Dar pictures
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ hajajibu mbona kakimbia sasa
 
Ss km Wakenya wengi wanajenga vijijini mbn hatuzioni hizo decent houses huko vijijini zaidi ya huts?
🀣🀣🀣🀣🀣 wanajenga wapi anakwambia wanategemea nyumba za urithi na unakuta ukoo una watu 100 hakuna nyumba vijijini wala mamayake nyumba, unafkiri huyu Nicxie hatamani kua na nyumba nairobi anatamani sana lakini ndio historia kwake tena historia hio iko kwenye ndoto
 
Na urithi wenyewe ni waukoo sio familia sasa kwenye ukoo wako watu 100 wanarithi nn hapo??🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…