Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bakia kuonesha estate zinazomilikiwa na investors pamoja na politicians mm nakuonesha nyumba za watu binafsi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Zinazomikiwa na mtu mmoja mmoja
View attachment 1788443View attachment 1788444
Tunajua za kwenu mwehu.,πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Weka middle na low middle same magnitude kama za Nairobi., Yani residential estates za Nai ziko na density kushinda Dar CBDπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜.,
 
Usinilaumu kwa uzembe wenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamani tuzisaze hizi picha kwa matumizi ya baadae😁😁😁
Leo ni kilio tu nilitarajia hilo 🀣🀣🀣🀣🀣 unafkiri mzungu ana akili za kiabunwasi aone slum dunia nzima asione ya dar pekeee
 
Don YF nimeletewa mpaka kijitonyama CBD eti ndo majority ya wanadar wanakoishiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 1788452
Leo tutaonyeshwa mambo,. I know hawana any to level na za Kenya, ona vile watahangaika na kutapatapa., Waanze kutafuta matako ya eastlands na past history kujikomboaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
 
Tunajua za kwenu mwehu.,πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Weka middle na low middle same magnitude kama za Nairobi., Yani residential estates za Nai ziko na density kushinda Dar CBDπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜.,
Unajua wapi mbona mzungu hakujua unavojua wewe au ww umemzidi mzungu juu ya technology 🀣🀣🀣🀣 mumebaki kusongamana kwenye bedsitter mukiwa hamuna ndoto za aradhi wala nyumba na hamuna matumaini na maisha kabisa 🀣🀣🀣
 
Leo tutaonyeshwa mambo,. I know hawana any to level na za Kenya, ona vile watahangaika na kutapatapa., Waanze kutafuta matako ya eastlands na past history kujikomboaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
Leo mumekutana na chuma 🀣🀣🀣 mumebakia kupeana matumaini sasa hvi
 
Don YF nimeletewa mpaka kijitonyama CBD eti ndo majority ya wanadar wanakoishiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚View attachment 1788452
Zoom sasa leo nimekuletea kitu kimenyooka aliekwambia kijitonyama ni CBd nani au wewe hujui maana ya CBD 🀣🀣🀣🀣 nairobi ina CBd moja, dar ina CBD moja , dubai ina CBd moja, newyork ina CBD moja sasa wewe jidanganye ukijitia dole alaf ukanusaπŸ˜„
 
While we wait for Venus Star, This is kasarani low middle class estate.
View attachment 1788433View attachment 1788428
Mzee naona unajichosha tu. Kila kona Dar imejengwa

1621253539871.png

1621252979121.png

1621253549506.jpeg

1621252973607.png
 
Ndege 6 zingine πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Twende tanzania wengine wana miaka 40 wanamiliki ndege tatu chakavu pia wanamiliki loss miaka 10🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Zoom sasa leo nimekuletea kitu kimenyooka aliekwambia kijitonyama ni CBd nani au wewe hujui maana ya CBD 🀣🀣🀣🀣 nairobi ina CBd moja, dar ina CBD moja , dubai ina CBd moja, newyork ina CBD moja sasa wewe jidanganye ukijitia dole alaf ukanusaπŸ˜„
Leta kama hizi wacha hekaya za abunuasiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜.,
Screenshot_20210517-150125.jpg

Screenshot_20210517-150215.jpg

Screenshot_20210517-145752.jpg

Screenshot_20210517-145920.jpg

Screenshot_20210517-145716.jpg
 
hi
Hizi ni takataka gani tena?πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Za kishamba tu., eti modern cityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Makazi yenyu standard tunajua, kelele mingi punguza., Stick to your laneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€­πŸ€­πŸ˜πŸ˜
 
Wanafkiri mzungu ni mjinga kufunga sattelite za trillions of money ni wajinga eti waone slum dunia nzima ila wasione dar pekee🀣🀣

Nenda ukalilie kwa chooπŸ˜πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., unatia huruma na haka kajisababu kako umependa kutupa humu., try something else sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., .,
 
Nenda ukalilie kwa chooπŸ˜πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., unatia huruma na haka kajisababu kako umependa kutupa humu., try something else sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., .,
Umekosa slums tayari 🀣🀣🀣🀣 mamaeee mwenzako hajakimbia bure mpe salamu zangu
 
🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡
View attachment 1788471
Hawana makazi halisi ya wakenya wao watapost estates tu hakuna kingine ukiulizwa owners utaambiwa politicians na investors kazi yako kupanda bedsitter hawana fikra ya kiwanja wala mawazo ya nyumba 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 na akibisha tu nitag
 
Mm nilikwambia huna chakupost wewe zaidi ya estates zinazomilikiwa na wachache lakini nyumbq wanazomiliki wakenya wenyewe hakuna mpaka dunia itasmama 🀣🀣🀣 na ndoto hzo hamutakua nayo milele
View attachment 1788473View attachment 1788474
low middle class estates za dar tunazijuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona skyline ileeeee😁😁😁
 
low middle class estates za dar tunazijuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naona skyline ileeeee😁😁😁
Tukianza kwenye millionares hamtuwezi tukija kwenye middle class hamtuwezi kitu mumetushinda ni umaskini na maskini wenyewe 🀣🀣🀣🀣
 
Hawana makazi halisi ya wakenya wao watapost estates tu hakuna kingine ukiulizwa owners utaambiwa politicians na investors kazi yako kupanda bedsitter hawana fikra ya kiwanja wala mawazo ya nyumba 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 na akibisha tu nitag
Usitulaumu kwa uzembe wenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ punguza wivuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usitulaumu kwa uzembe wenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ punguza wivuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hvi mpangaji anaeza kua na wivu na nyumba sio yake ???🀣🀣🀣🀣 Au nianze kukuonesha owners wa hzo estates
 
Back
Top Bottom