Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiii yote ni nimechora ni westland kama unabisha sema tena 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 1785632

View attachment 1785630
IMG_20210515_084213.jpg
 
Bongolala, kibera ndio mtaa kubwa wa mabanda Nairobi and that's why I focused on it. Licha ya huo ukubwa wake look at these two images and make a comparison
View attachment 1785640View attachment 1785642
Hapo sasa ukiingia ground unakutana na mazingira haya hapa chini, Wakenya oneni Magufuli alivyotutendea sisi wanyonge huku uswazi kabisa, for only five years, huyu Magu huyu mwenyezi amuweke mahali pema kwa kadri ya stahiki yake, ona jinsi Magu alibadili jiwe kuwa mkate onaa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20210515_100923_770.jpg
IMG_20210515_100731_796.jpg
IMG_20210515_100705_476.jpg
IMG_20210515_100653_424.jpg
IMG_20210515_100537_413.jpg
IMG_20210515_100546_530.jpg
 
Ngj nipate muda niende kupiga picha mitaa yote ya uswazi na ikiwezekana niweke video kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapo sasa ukiingia ground unakutana na mazingira haya hapa chini, Wakenya oneni Magufuli alivyotutendea sisi wanyonge huku uswazi kabisa, for only five years, huyu Magu huyu mwenyezi amuweke mahali pema kwa kadri ya stahiki yake, ona jinsi Magu alibadili jiwe kuwa mkate onaa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1785729View attachment 1785730View attachment 1785731View attachment 1785732View attachment 1785733View attachment 1785734


Waambie iyo ndio temeke wanayoiita slum na kufananisha na kibera mitaa imenyokaa na iko paved na inataa je mathare uko wanasemaje
 
Halafu wakenya wamejaa kwenye guest houses za Tanzania, wakifanya kazi za house keeping.

Kwenye bars napo wapo wengi kweli.

Hapa Tanzania wamalawi wenye wanajulikana kwa kazi za ndani na kumwagilia bustani.
Warundi kwenye mashamba Geita, Kigoma, Katavi

Wanyarwanda kuanika dagaa mialo ya Victoria
 
Back
Top Bottom